Well said Comrade.
Jambo ni Lile Lile siku zote.....
Thamani inaanza kwako kabla ya kutoa kwa wengine.
Kuna wakati tunaumizwa ni kwasababu tuliwapenda na kuwathamini wengine kabla ya kuzithamini na kujipenda wenyewe kwanza.
Kitabu kitakatifu kinasema.
Yakobo 2:8 "Wapende wengine kama...
Nimekumbuka kitu......
Kwetu Mimi ni wa kwanza (First Born), Nilikutana na Bro mmoja Msukuma anaitwa Masumbuko Mabula, alinitunza sana na nilijiona kuwa yeye ni kaka yangu, maana nilikuwa sina mtu ninae muangalia Wala kumuombea Ushauri as Brother.
Sekeseke la Magufuli (Vyeti feki), lilimkuta...
UTANGULIZI.
Walimu wamekuwa chachu na msaada mkubwa sana katika taifa letu, kwani wao ndiyo daraja la mafanikio ya watu wengi, tunakubaliana kuwa, walimu wamekuwa kama wazazi/walezi wetu na kuna muda wanachukua jukumu la kutuwajibisha ili kuhakikisha tunakuwa watu bora zaidi katika jamii...
UTANGULIZI.
Taifa lolote ili liendelee linahitaji watu ambao watapandikizwa elimu sahihi, Elimu sahihi inajengwa na mfumo bora wa elimu. Kulingana na ulimwengu tuliopo sasa ili kupiga hatua tunahitaji matumizi ya sahihi ya kiteknologia katika mfumo wa elimu ili kuchochea ukuaji wa elimu yetu...
Chanzo: Safari Media
VITUO VYA HUDUMA JUMUISHI.
Ni namna ya kusogeza huduma karibu na wananchi.
Ni mjumuiko wa taasisi/mashirika ya kiserikali na binafsi katika eneo moja ili kutoa huduma kwa jamanii/wananchi. Mfano BRELLA, WCF, MANISPAA/HALMASHAURI, NIDA, TRA, NSSF, RITA, HESLB, IMMIGRATION...
UTANGULIZI.
Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati alipopewa wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi/CCM.
Rais John Pombe Joseph...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.