Recent content by KULWA MAKONO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Wasahili tunasema rafiki yako wa dhati utamjuwa wakati wa shida, hivyo ITV tusiwazonge kihivyo cha msingi kifo cha Steven Kanumba tumekwisha sikia na hakuna asiye jua Kanumba kisha kufa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    Usalama wa Taifa kokote duniani ni jukumu la kila raia na sio serikali
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    Kifo cha Steven Kanumba utata mtupu, tuache polisi wafanye kazi yao. kwani kifo ni mpango wa mungu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Mungu alitoa na mungu ametwaa jina lake lihimidiwe AMINA. Watanzania wote poleni kwa kuondokewa na kipenzi cha wengi Steven Kanumba Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema amina
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msanii Lulu katika pozi

    Lulu pole kwa yote yaliyotokea, ni mungu tu ajuaye ni lini anapohitaji uhai wa kila mtu na si binadamu yeyote
Back
Top Bottom