Recent content by kulunalila

  1. K

    Afya ya Mbunge wa Ukerewe

    Kwa niaba ya familia Na Kwa niaba ya Mh Mkundi, nakanusha uvumi wote juu yake Na naomba jamii itambue kuwa Mh Joseph Michael Mkundi yu hai na ni mzima wa afya. Ni rai yangu anayevumisha habari yoyote mbaya aache na kuwa familia tunasikitishwa na taarifa hizi zisizo za kweli juu ya ndugu yetu...
  2. K

    Huyu ndiye rais wa tanzania

    1.Magufuli 2.Makongoro 3.Mwigulu 4.Muhongo 5.Membe 6.Mwandosya 7.Wasira 8.Sitta 9.Sumaye 10.Lowasa 11.Pinda 12.Ngeleja 13.Nyalandu 14.Kamani 15.January 16.Karume 17.Kigwangala 18.Amina 19.Mpina 20.Bilali 21. Slaa Chagua namba ya umpendae awe rais wako.
  3. K

    Mtifuano wa Ubunge Jimbo la Ukerewe

    Wewe malima/yaikayaika acha sisa za kitto ndugu yangu, jipange mshindane kwa hoja.
  4. K

    Malima na ubunge ukerewe

    Sikuja kujibu hoja ya ndugu Malima na wapambe wake, hapana isipokuwa kuhoji mambo machache juu ya dhamira yake, mbinu zake, mikakati yake ya kugombea ubunge wa ukerewe. Siku mbili tatu kumekuwa na harakati mbali mbali za kisiasa katika mitandao ya kijambii na vyombo kadhaa vya habari juu ya...
  5. K

    Pres. Mugabe: It is time Africa be grateful to Julius Nyerere

    thanks comrade Mugabe, i know Nyerere will get his light place after this disgraced corrupt generation. True father of Africa
  6. K

    Kama nyerere....

    Kama nyerere na wenzake waliopigania uhuru, utu, heshima na maendeleo ta taifa hili wakiwa vijana wabichi kati ya umri wa miaka 25 na 40, je vijana wa sasa tupo katika mwenendo sahihi wa kuchukua na kuendeleza dhamana hiyo, au tunatumika tu...
  7. K

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    sylivery m mataba
  8. K

    Nakuaga Hugo Chavez: Wewe ni miongoni wa 'role models' wangu kimataifa...

    All great intellectuals in the history of mankind were great social thinkers and committed social critics. Where education is compartmentalized and is devoid of social economic dimension, it is bound to produce intellectual stagnancy. Hugo is gone but his mind, his ideas, his vision, his...
  9. K

    The lawyers intellectual

    Lawyers profession like another as old as itself as dirty but even less honest. By god.! one sells body another brain one forced to do so another chooses to do so Damn it ! both should go this of gentle-man-eaters even before that of needy mothers and sisters. think....!!
  10. K

    Mbunge Moses Machali anachemka Channel 10

    Huyo huwa ni tupu, nilipambana naye 2010 akanipigia salute chuo kikuu SAUT MWANZA, KAZI YAKE NI JAZBA,KELELE NA KUMNUKUU MALCOM X KWA KILA KITU KILA WAKATI NA QUOTATION ILE ILE
  11. K

    Huu ndio ukweli kuhusu kamanda Malisa na CHADEMA SAUT

    pamoja na uongo wako wote huo bado, nasema bado hakika hamuwezi kufuta jina na sifa ya uongozi wa mataba hapa chuoni, kitaifa na kimataifa, kiongozi thabiti, shupavu, mtendaji na mwajibikaji si mpiga kelele kama ninyi tangu mumeingia ni kelele za face book na jamii forum badala ya kutatua kero...
  12. K

    Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    baraza gan huru na la watu wenye uwezo kama lililokuwa la mataba alipigania ofisi na tayari zilipatikana akatoka zikikarabatiwa akawa na serikari isiyo ya kidini,kikabila,kifaculty na kitabaka, yenye mchanganyiko wa rika zote akajenga viwanja vyote vya michezo, akawaleta wasanii kuburudisha ktk...
  13. K

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    january makamba the next Tanzania president
  14. K

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    ninaamini tena kwa dhati kuwa mwaka 2015 January Makamba atakuwa katika top three ya wagombea wa CCM ikiwezekana ndiye rais 225 kama si 2015 Tanzania.
Back
Top Bottom