Kwakuangalia nakutembea unaona TU waislamu wapo wengi mikoa ya pwani na visiwani mikoa ya bara huko ni wachache ongea na walimu wakupe takwimu.
Hivi vitu havina afya kuvijadili. Kikubwa tutafute maisha
Kwa sisi wanaume ni sawa hasa linapokuja kwenye swala la ngono kukizi tamaa zetu na kuonesha uanaume.
Kwa swala laku unganisha na kuimalisha familia tunafeli sana fndoa za wake wenge ndani yake hakuna mshikamano WA kifamilia na watoto zimejaa chuki TU Watoto wabi mdogo hawapatani na watoto WA...
Tusubili WA huko mbinguni tukifa LAKINI tukiwa hai hebu tuwaheshimu wanawake kama binadamu kuwafuga kama mifugo yako hii hapana. Tena unasahau mpa majina yao
Nilipoiona ile video ya yule mbunge wa Geita akiwatambulisha wake zake kama vile wacheza shoo iloniuma sana just imagine kati ya wale wanawake angekuwa mwanao au dadako ndo anatambulishwa mke watano. Yaani kama bidhaa.
Ukiongea na wanawake, wengi wao hawapendi ukewenza, wengine wanasema wanavumilia tu ni kwasababu ya dini tu. Na wengine nisababu ya umasikini WA familia zao kwasababu mara nyingi wazazi huwaozrsha watoto wao ili nawao wanufaike kiuchumi
Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako.
Alafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu, huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni .
Wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.