Recent content by kulabu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Acha uongo wewe mbona ulivyopata lift ya kwanza ulitangazwa kila sehemu?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TACTIC kujenga barabara KM 17 za lami Manispaa Geita

    Naona ndipo akili yako ilipoishia,kujadiliana na mtu kama wewe ni kujiweka daraja moja watu washindwe kutofautisha baina yetu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TACTIC kujenga barabara KM 17 za lami Manispaa Geita

    We usifikiri kila mtu kichwa panzi kama wewe labda uko porini huko..barabaraka maelfu kwa maelfu hizo unazoita za Tarura zinachimba mashimo kila siku..Kaangalie barabara ya Legho - ubungo NHC ilivyo na haina miaka mingi,barabara ya Tabata bima- Mawenzi kuanzia pale st marys na nyingi nyinginezo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TACTIC kujenga barabara KM 17 za lami Manispaa Geita

    Barabara za kiwango cha chini,ndani ya mwaka tayari zaleta mashimo Ndio uchafu gani..
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TACTIC kujenga barabara KM 17 za lami Manispaa Geita

    We juha mm naongelea miradi ya TACTIC uliyoweka humu wewe unaleta takataka zako za uchawa Bastard
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TACTIC kujenga barabara KM 17 za lami Manispaa Geita

    Zabuni zimetangazwa toka 2023 ilikuwaje utekelezaji katika miji mingi usuesue kukamilika mpaka kipindi cha karibia na uchaguzi,kama sio siasa binafsi za maslahi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 2025?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TACTIC kujenga barabara KM 17 za lami Manispaa Geita

    Siasa za maslahi binafsi Kusubiri kipindi cha uchaguzi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Yu Wapi Mwanadada Veronica France?!

    Cyprian Majura Musiba Mungereza
  9. K

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nilimpigia Kikwete baada ya Magufuli kuondoka, nilimwambia aongee na Mama nataka kurudi

    Si ndiye mastermind😁😁😁
  10. K

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    Ni shida ya mfumo wa elimu ya Tanzania
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tunaokolewa kwa Imani sio kwa kufuata Sheria

    Siwezi kuwa na akili mbovu ya hivyo ya kupingana na nature,mfano wako..mm namuamini Allah kawa muumba wa vyote,asiye na mshirika,amnaye hajazaa wala kuzaliwa na hafanani na chochote.. na naamini katika dini ya haki ya uislam inayoendana na maumbile na asili ya mwanadamu
Back
Top Bottom