Nakuelewa sana vifaa vya kisasa kama hauna pesa za kutosha hautaweza kumudu gharama ni zipo juu sana kupita maelezo fundi wa mwembeni hawezi mudu zaidi ya nyundo na chainblock hapo Big hamer haikwepeki.
Ila tukienda kwenye gereji za mtaani tukiambiwa Mil 1 una sema nyingi nina laki 5, ila kwa...
Watuweke wazi tuu maana juzi hapa imenitoka 12k kama malipo ya posta wakati vitu vyote thamani yake kama 14k tuu.
ukipiga hesabu pamoja na makato ya malipo almost 30k,,,,,
Asante kaka mama ana umia mara zote kikubwa kinacho muumiza sana hadi sasa ni mimi maana bado sija simama ila kwa uwezo wa mungu Insh'Allah nita simama tena kisicho riziki hakiliki.
Asante kikweli miaka imepita sijapoa moyoni bado nina kidonda kisicho pona yaani huwezi amini mama kaacha nyumba yake hapa Dar wakati alikuwa tayari ame pumzika ili bidi aende shamba kulima mahindi tena porini huko nilienda kumtembelea mwezi Dec yale mazingira niliio yakuta mama yangu anaishi...
Si maanishi kuwa kuchukia kwangu kuna leta chochote ila kwa jinsi ilivyo tolewa getini kwa kukokotwa easy sana tofauti na gari kuna muda mtu una chukia kitu hai maanishi kuwa kibaya kwako na wengine iwe hivyo ila kibaya kwako kwa sababu zako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.