Recent content by KUKU_UFUGAJI

  1. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza ukawa una vidonda vya tumbo na usipate maumivu ya tumbo?

    Nakukubali sanaaaaaaa
  2. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kanisa la Mwamposa na maswali ya kujiuliza

    So nilisikia hapo wana jenga zile Arena 2 kwa mko wa Dar es Salaam moja ingetakiwa iwe KAWE na nyingine maeneo ya MBEZI kimara, wakati nyingine ingejengwa Dodoma. Sasa wame fikia wapi kuhusu hizo Arena ?!
  3. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kununua ni bora mara mia kuliko mahusiano

    Assah kuna binadamu hana upwiru jamani
  4. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kununua ni bora mara mia kuliko mahusiano

    Mimi. A wewe tuwe stranger tuwe tuna kutana siku za upwiru tuu
  5. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Ila baridi, nakula lakini nasikia njaa haraka baada ya kula😃😃....

    We dada ina onekana hata mchezo una penda sanaa.
  6. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Itungwe Sheria kupiga marufuku viongozi wa dini KUWA wanachama wa vyama vya siasa. Hapa ndipo kosa lilianzia.

    Ni serikali Ndiyo iliyo jipendekeza kwenye taasisi za kidini. Kuita viongozi kwenye kila hotuba, na kuweka videos za viongozi wa kisiasa kwenye mikutano ya kidini. Ni serikali ndiyo yenye makosa, ina tapatapa kutafuta kura mpaka makanisani na misikitini. Mwenyezi Mungu hawezi acha tuu mafisadi...
  7. KUKU_UFUGAJI

  8. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

    Hautaweza maana utakuwa hauna experience hiyo na utaona2ni kazi sanaaaa
  9. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Jitengenezee nishati ya umeme wa upepo nyumbani kwako

    TANESCO wata kuacha salama sasa ?!
  10. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

    Basi ndiyo maana una jeuri ya kusema hayo yote ngoja jioni ifike kweli
  11. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Una jua jina lina maana gani kiroho. ? Au connection gani na tabia ya mtu ?! Muite mwanao cha pombe au shida uone huko mbeleni atakuwaje.
  12. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Hapo Tanesco tuu si ali tolewa, unataka akaue huko kwenye mitandao ya simu ?!
  13. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi, inawezekanaje eneo lenye madini yasiyopatikana kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo?

    Hiyo laana ni nani ali ileta na nini kifanyike ili hiyo laana iondoke ?!
  14. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Mtu anaa itwa Maharage alafu unataka awe CEO kweli jamani ?!
Back
Top Bottom