Mnajifanya vichwa ngumu nyie rudia soma ripoti zote za kipindi cha john hayo unayosema yalikuwepo.
Mnajizima data sasa hivi wizi wa mali na fedha za umma umekuwa mkubwa mno.
Halo CAG amejitahidi kupunguza lkn bado wizi ni mkubwa
Hivi kwa akili za kawaida mkataba umesaini na mmekubaliana...
Hizo 1.5 aliwekeza wapi? Mmesema alipeleka china mara aliweka wapi, fedha nyingi kiasi hicho haziwezi kujificha na kwa namna ambavyo mlimchukia sasa kila kitu mngekuwa mmeweka wazi.
Zaidi mmebakia kusema aliiba trilioni 1.5 wakati hizo hela hazijulikani ziko wapi?
Tutaamini aliiba mpaka...
Alipeleka wapi hizo hela, maana trilioni 1.5 ni nyingi mpaka leo huwa najiuliza aliwekeza wapi hizo hela?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hamtaji aje mtu kama magufuli kwasababu aliwagusa kwenye maslahi yenu na aliwayumbisha mpaka familia zenu zikaishi kwa shida.
Demokrasia mnayosema kwasasa ni mbaya kabisa bora kwa John, mnajificha kwenye mwamvuli wa demokrasia huku mnawaibia watanzania, njaa inanuka kila mahali, miradi...
Mwakyembe alichokifanya ni kuweka wazi jambo hili la ushoga,
Haijalishi wewe umelipokeaje na umeelewaje huku mitaani tuliko jambo hili linakuwa na kuongezeka
Watu kama ninyi mnatupoteza ili mwakyembe alichosema kionekane cha kijinga hakina maana.
Ushoga kwa sasa uko kwa kiasi kikubwa na sasa...
Ungekuwa ni ww ndo dereva unaendesha malori ungeona madhira waliyofanyiwa na KENYA
hata ningekuwa mm ningefanya walivyofanya, yaani wao tunawaachia wanakuja huku na kurudi ila madereva wa kwetu wanapimwa alafu wanasubiri majibu kwa wiki mbili kitu ambacho wao hawafanyiwi hivyo
Sent using...
Siasa za vyama vya upinzani Mara nyingi vinaongozwa na kutengenezwa na dola
Yanayotokea sasa ni kawaida tu dola inahamisha nguvu toka CHADEMA inapeleka chama kingine
2020-2025 kutakuwa na mseto wa kambi rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Upinzani sio chama ni mawazo kizani tu dhidi ya mawazo upande mwingine
CHADEMA hata ikifa upinzani utaendelea kuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.