Recent content by Kuku kwiyoyo

  1. Kuku kwiyoyo

    Muda wa kulipwa kwa madeni ya Watumishi wa Serikalini

    Ivi kwanza hii serikali inalipaje yan inasubir ilipe kwa kipind flan let say mwezi wa pili au kila mtu analipwa kwa wakati wake kutokana na ulivomaliza kujaza document
  2. Kuku kwiyoyo

    Muda wa kulipwa kwa madeni ya Watumishi wa Serikalini

    Umeona eh yan unakuta unasumbuliwa Sana kufatilia haki yako wakat ni swala dogo sana isitoshe serikal inapesa
  3. Kuku kwiyoyo

    Muda wa kulipwa kwa madeni ya Watumishi wa Serikalini

    Habari zenu wanajamii Naomba mnisaidie kitu kimoja. Mimi kwa bahati mbaya mama yangu mzazi alifariki tangu 2016 na alikuwa mtumishi wa Serikali. Amefariki akiwa anaidai Serikali malimbikizo ya mshahara.Sasa mimi nimeamua kufuatilia hayo madeni tangu mwezi wa pili pale ofisini kwake Sasa...
  4. Kuku kwiyoyo

    Ni kiasi gani cha fedha kinahitajika kwa mtu anayetaka kulima mpunga?

    Sasa vipi kuhusu idadi ya magunia ya mpunga kwa hekali moja
  5. Kuku kwiyoyo

    Ni kiasi gani cha fedha kinahitajika kwa mtu anayetaka kulima mpunga?

    Mhh unaweza elezea kidogo ni kwanini useme hivyo
  6. Kuku kwiyoyo

    Ni kiasi gani cha fedha kinahitajika kwa mtu anayetaka kulima mpunga?

    Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine. Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anaetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo 1)gharama kukodi shamba la...
  7. Kuku kwiyoyo

    Ni gharama kiasi gani inahitajika kwa mtu anayetaka kulima mpunga?

    Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine. Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anayetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo 1)Gharama kukodi shamba la...
  8. Kuku kwiyoyo

    Ushauri: Ninamtaji wa milioni 3 lakini sijui nifanye biashara gani

    Nakushukuru ndg yangu kwa ushaur wako mungu akubarik pia
  9. Kuku kwiyoyo

    Ushauri: Ninamtaji wa milioni 3 lakini sijui nifanye biashara gani

    Asante ndg yangu kwa ushaur nitajaribu kulifanyia kazi 🙏🙏🙏
  10. Kuku kwiyoyo

    Ushauri: Ninamtaji wa milioni 3 lakini sijui nifanye biashara gani

    Anha nataka nizifanyie biashara kipindi hichi hichi wakati nasoma ili paka nikimaliza ziwe zimejizarisha
Back
Top Bottom