Recent content by Kugema

  1. K

    Usajili wa Kampuni Brela

    Jina halitakiwi kufanana kimaana, kimatamshi, au kimaandishi sasa nikiuliza swali la kizushi nini maana ya ELEPHANT kwa kiswahili nipe jibu kimya kimya na ufanano katika name clearance walau uwe ni chini ya asilimia tano unashauriwa hivyo.... au wapigie kituo chao cha miito zaidi nipe Tafsiri...
  2. K

    Usajili wa Kampuni Brela

    Mimi kwa uelewa kiasi wa maswala hayo kama utakaja kusajili jina fulani la Biashara au Kampuni inabidi kwanza ufanya name seach uone kama kuna ufanano au lah kama lipo lilishasajiliwa huwezi kupata... hiyo so kwako tu. na kama ni Kampuni unataka kusajili kwa muda ujao wewe unapashwa kufanya...
  3. K

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Mkuu na wewe utakua una ajenda yako tu, toka jana unapiga maneno tu hamna ushahidi wowote... Kama una ushahidi sema hapa kama hauna futa post yako... Ni chuki binafsi tu zitakuwa...kama hamna ushahidi tuambie tujue moja hapa... Kuna mambo mengi ya kujadili
  4. K

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    huu mjadala naona wewe haukuhusu...tupishe kwanza!
  5. K

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    vijana wanahis pesa lahisi sana mtaani...dawa yao hawa ni kuwafichua mmoja baada ya mwingine...
  6. K

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Sku izi mambo yote hadhalan wataje waliokula maokoto yako weka na ushaid hapa... Hiyo ndo daw
  7. K

    BRELA wana tatizo gani ktk kusajili kampuni mtandaoni?

    1. Issue ya ombi kufutika ni pale ambapo ombi ambalo halikulipiwa linakaa kwenye mfumo kwa siku saba hapo litafutika. Ombi ambalo limelipiwa linakaa kwenye mfumo kwa siku 365 kama lisipofanyiwa kazi linafutika. 2. BRELA haipo tena Jengo la Ushirika, imehamia Posta katika Makutano ya Mtaa wa...
  8. K

    Kwa Mkurugenzi wa BRELA: Naomba kujua namba za simu za customer care staff wako zinazofanya kazi

    Pole sana Mama Amon namba ya kituo cha miito ni +255 (0) 222 212 800, unaweza kuwachek pia Instagram brela_tanzania WhatsApp pia wanapatikana kwa namba hii +255735331003 au kuwatumia barua pepe maoni@brela.go.tz
  9. K

    BRELA inakimbiza wawekezaji

    Hili suala nadhani ni vyema kuliangalia kwa pande zote mbili, kuna wakati inatokea pia sisi wenyewe tunaorudishiwa masahihisho tunashindwa kabisa kufanya marekebisho kama tulivyo elekezwa na badala yake tunaenda kuharibu zaidi kwenye mfumo. On the other BRELA inahudumia Watanzania waliondani ya...
  10. K

    GE2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    Alichokueleza ni sahihi kabisa, kumwambia anywe maji akalale ni kukosa hoja.
Back
Top Bottom