Recent content by kudraty

  1. kudraty

    Marafiki wa kweli ni wa utotoni

    Hao waukubwani ndio balaa kabisa usipokua makin wanakuangamiza japokua sio wote wapo ambao wanautu
  2. kudraty

    Marafiki wa kweli ni wa utotoni

    Hao wakinafiki wapo lakin tunakutana kazini,kwenye matukio muhimu lakin sitaki wanijue Zaid ya hapo wameshanizalilishaga sana
  3. kudraty

    Marafiki wa kweli ni wa utotoni

    Mimi kwaniliyopitia kwa marafiki kwaumri huu sihitaji Tena marafiki kwani baada ya kuachana na mambo ya urafiki sasaivi naishi maisha ya amani Sana
  4. kudraty

    Marafiki wa kweli ni wa utotoni

    Sijui niseme ninabahati mbaya maana marafiki wote niliowahi kua nao kuanzia wautoto wote walikua wasaliti..sasaivi tumebaki kujuana tuu na Wala sihitaji Tena rafiki wameishia kuniumiza tuu[emoji24]
  5. kudraty

    Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

    Bibiangu mzaa baba nimshika dini haswa lakini akitoka anaficha kichwa cha gesi waya wakuwashia tivii na muda wa kupika nyama anasehabu finyango.kwahyo uchoyo niasili ya mtu haijailishi ameshika dini kiasi gani
  6. kudraty

    Jihadhari na hiki kituo cha mafuta cha Victoria

    Hiyo yakuchanganyia gari mafuta ilishawahi kunikutaga aisee dereva aliwaka na kunisusia gari bahat nzuri meneja alikua mtu mstaarabu alinisaidia kuita fundi akamwaga Yale mafuta nikamuekea mengine kwa garama zangu
  7. kudraty

    Challenge

    Mapenz
  8. kudraty

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji2772][emoji2772]
  9. kudraty

    Ni kipindi gani kigumu ulishawahi kupitia ambacho kilikupa hasira ya kutafuta pesa kwa nguvu?

    Usifikie hatua hiyo ya kujiua,tena futa Hilo wazo la kujiua Mimi napitia wakat mgumu Sana lakin sijawahi waza kujiua kila kukicha namuomba mungu anipe uzima ili nivuke hichi kipindi salama.
  10. kudraty

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji2772][emoji2772]
  11. kudraty

    Ni kipindi gani kigumu ulishawahi kupitia ambacho kilikupa hasira ya kutafuta pesa kwa nguvu?

    Namuomba mungu Sana huu mwaka uishe tuu na anijaalie uzima napitia kipindi kugumu Sana Cha madeni misukosuko ya kila aina yani najihisi kama ninamkosi vile.kuna wakati naliaaa mpaka nahisi Kama namkufuru mungu
  12. kudraty

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji2772][emoji2772]
  13. kudraty

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji2772][emoji2772]
  14. kudraty

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji2772][emoji2772]
Back
Top Bottom