Recent content by kudamademede

  1. kudamademede

    Usipokufa kwa chanjo ya mzungu njaa itakusomba tu

    Mkwanja umeingia tayari...viongozi wa Afrika ni hatari kuliko wakoloni wa kijerumani
  2. kudamademede

    Usipokufa kwa chanjo ya mzungu njaa itakusomba tu

    Kiza kimetanda, wananchi wanahaha mitaani, hawajui watakula nini kesho. Mama anaamka, huku amelala na njaa ya siku mbili. Maziwa ya mtoto yamekata. Anajikokota kutafuta unga apike uji wa mwanae wa miezi 7. Ikiwa takribani wiki mbili tangu rais Mseveni atangaze lockdown tena kwa siku 42 hapa...
  3. kudamademede

    Wachunguzi: Jamhuri ni nani tunayesalimu kwa jina lake?

    Tanzania ni Nchi inayoongozwa na wanadamu ambao wameumbwa na Mungu na wanapata nguvu ya kuongoza na kutawala kutoka kwa mwenyezi Mungu aliyewaumba. Hii bila ubishi wala majivuno wala matambo. Mkuu wa nchi ana nafasi kubwa sana ya kuwafanya wananchi wake wamtegemee Mungu au wasimtegee Mungu bali...
  4. kudamademede

    Naomba kujua: Gharama za convoy ikipiga kambi Chato nani analipa?

    Analipa yuleyule anayelip ikiwa Dodoma au Magogoni. Kijana mdogo una roho mbaya...utakuja kuwa mchawi uzeeni
  5. kudamademede

    Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

    Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni Dodoma. Mheshimiwa Spika, ninaomba nikushukuru sana kwa kunipa fursa hii ya kusema maneno machache kwa...
  6. kudamademede

    Hapa ndipo Tundu Lissu alipoachana na wazalendo wa nchi

    Kabla ya Tundu Lissu kupata shambulizi alionekana kama mtu anayependa sana watu na kuwasaidia waliokuwa hawana msaada na kupitia hilo alitengeneza jina miongoni mwa watanzania. Lakini baada tu ya kuonekana jina lake limekuwa, mtazamo wake ulibadilika, harakati zake zikabadilika na uzalendo...
  7. kudamademede

    GE2020 Tunatukanwa kwakuwa tumeona yaliyofanywa na Magufuli

    Ukipita mtandaoni kwenye kurasa zinazoendeshwa na vyama vya upinzani katika kipindi hiki cha kampeni, utaona mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza utaona majigambo kwamba wanapendwa na kila mtu na kwamba Oktoba 28 watashinda!! Jambo pili utakaloliona ni matusi makubwa yakielekezwa kwa kila mtu...
  8. kudamademede

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Dhana mbaya kuliko zote ni kuona mambo mazuri aliyoyafanya mtu, ukajitia upofu na kuwaamnisha watu wengine kwamba hakuna kinachoonekana. Mbunge wa Bunda Esther Bulaya aliwahi kulalamikia huduma mbaya ya Air Tanzania alipoipanda kutoka Mwanza mpaka Dar Es Salaam. Hapa kinachoshangaza sio ubovu...
  9. kudamademede

    Baada ya kupita barabara ya juu ya Ubungo Interchange, nimewaza tofauti

    Kwanza nikubali kwamba maisha yanabadilika kwa kasi sana siku kwa siku na hakuna namna unaweza kufanya yakusubiri mpaka uwe tayari. Leo nimebahatika kupita barabara ya juu ya Ubungo interchange iliyofunguliwa hivi karibuni nikiwa njiani kuelekea Airport. Nikiwa juu nimepata mwanga fulani na...
  10. kudamademede

    Gwajima Unaikumbuka hii? Sasa nawe Ukikerwa utasemaje?

    Kuna hoja nyepesi kila siku zinaletwa hapa. Hivi huyu Gwajima mbona anakuwa anagombea Urais? Au jimbo la Kawe ni nchi inayojitegemea? Mimi nitamchagua then nimuachie kazi ya maendeleo, kisha tuone itakuwaje. Halima tumempigania sana na hatukuona jema lolote. Kama Halima alituchengesha mara...
  11. kudamademede

    GE2020 Gwajima Fursa hii hapa ya kupata kura nje nje ila usitoe rushwa ni Boko Basihaya

    Hili kupata maendeleo yasiyo na konakona, kufanikisha kuwa na kauli moja jimboni na kuhakikisha mambo yanatiririka kwa uzuri zaidi basi ndugu Gwajima anafaa sana kwenye jimbo la Kawe. Kuna ujanja ujanja Halima anafanya lakini tutaweka wazi mpango mzima ndani ya muda mfupi
  12. kudamademede

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Halima hana sifa ya kuendelea kuongoza jimbo la Kawe
  13. kudamademede

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Wewe unakula za nani? Acha akili mgando
  14. kudamademede

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Kuna upuuzi mkubwa kumsapoti mwizi kama Halima
  15. kudamademede

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Tunapenda wanawake waongoze kwenye jamii na tumefanya hivyo Kawe kwa miaka kumi, hatuwezi kulaumiwa kwa kuminya nafasi za kisiasa. Tatizo ni kumpa mtu nafasi mara nyingi hivi na bado hamna anachofanya. Kazi ya mbunge ni kuwasemea wananchi bungeni, Halima amekuwa wa kuisema serikali mitandaoni...
Back
Top Bottom