Recent content by Kudadeki

  1. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Escrow Kimenuka: Uongo wa Taarifa ya Kamati ya PAC kuhusu sakata la ESCROW

    Ripoti ya CAG ukurasa wa 23 unasema:
  2. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Escrow Kimenuka: Uongo wa Taarifa ya Kamati ya PAC kuhusu sakata la ESCROW

    Kwa hiyo wajumbe wa CCM hawawezi kuongopa?
  3. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Hapo ndipo ulipodanganywa. Ripoti ya PAC siyo ripoti ya CAG. Ni ripoti mbili tofauti. Nenda kazisome zote mbili kwanza halafu urejee tena hapa na hoja zako nyepesi.
  4. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Ujuha ni kutaka kujua Ngeleja alipewa kwa sababu gani lakini hutaki hata kusikia kuwa Zitto naye alipewa.
  5. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Ufafanuzi ulitolewa lini na wapi? Tupe source tukajisomee wenyewe....
  6. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Hiyo iko sawa na kanuni za logic. Kama A = T, A = B, basi B = T. Ngeleja kupewa hela na Ruge ni dhambi. Zitto kupewa hela na Ruge kama alivyopewa Ngeleja. Basi Zitto kupewa hela na Ruge pia ni dhambi. Nyingi vijana mnatakiwa kufahamu hizi simple rules of logic la sivyo mtabaki kuwa mazuzu...
  7. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Kwani Ripoti ya CAG imemtaja Ngeleja ama kuna mtu yeyote aliyetiwa hatiani na hiyo ripoti ya CAG? Usichanganye ripoti ya CAG na ripoti ya PAC. Hizi ni ripoti mbili tafauti.
  8. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Hoja ama tuhuma iliyokuwa mezani ni kupokea fedha za Ruge... Kama Zitto alipokea basi hiyo ni valid point. Msitetee ujuha...
  9. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Professor Karim or the Comedy of Errors

    Kijana umepewa "matirio" basi nenda kajisomee... La sivyo utabaki na upimbi wako maisha yako yote! :eyebrows:
  10. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Professor Karim or the Comedy of Errors

    Kwa akili zenu finyu za kutunga maana basi hata neno "stara" mtakuwa hamjalisikia na maana yake pia hamjui. Haya tupeni maana ya neno "usta"...
  11. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Professor Karim or the Comedy of Errors

    Wazungu wangesema "you are being silly".
  12. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania David Kafulila(MB) awaweka washauri wa JK Pagumu: Aonyesha JK alivyolivyolipotosha Taifa Leo

    Kifungu 7.7 cha Mkataba wa Kufungua Akaunti ya Escrow kinasema hivi Akaunti ya Escrow yalifunguliwa ili malipo yaendelee na huduma ya kupewa umeme isisimame. Ufunguzi wa Escrow Account ni kwa mujibu wa Power Purchase Agreeement siyo kwa sababu ya kesi yoyote ya mahakama. Ukisoma hicho...
  13. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Kazi za TAX Assesors ni nini TRA? (IPTL case)

    Inategemea ni kod gani..
  14. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba,Asha-Rose Migiro hawavunji sheria za nchi?

    Kukurupuka ndiyo huku...
  15. Kudadeki

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasimamisha mgombea ubunge mbumbumbu Chalinze

    Bahati nzuri huyo mgombea ni kafiri kama wewe tena ana jina la Kibiblia yaani Mathayo! Sasa huenda naye aliliwa mgongo na mapadri chini ya kinanda!
Back
Top Bottom