Wana Jamvi kuna kitu kinanichanganya kidogo nikaona ni share na nyinyi. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na idadi ya vijana kuandika vitabu. Hata hivyo kwa akili yangu ndogo naona kama ni mbeleko ya kisiasa kutoka kwa watu hao wanaoandika vitabu vyao. January Makamba alitoa kitabu cha Bumbuli...
Huyu Zitto Kabwe sasa anatutafutia matatizo sisi watu wa ufipani. Mzee wetu Mtei atakufa kwa presha na mkwe wake Mbowe hataweza kumbebeleza. Yeye aondoke sawa, nenda. Sasa unaondokaje na watu wetu jamani? Au hujui kama Afande Sele ndio chaguo letu la kwanza katika jimbo la Morogoro Mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.