Poleni na swaum wana MMU
Kuna swala naomba niwashirikishe mnipe uelewa pale nisipoelewa,
Hivi hawa kina mama wanaojiunga na VICOBA ni mashari gani wanatakiwa kuyafuata wanapokuwa huko,Ili waweze kukopeshwa?
Naitataji kujuwa kwa sababu yupo jamaa mwenzi wake kapoteza Simu baada ya siku mbili...
Kuna maswala mengine kwenye mapenzi wanawake hutoa povu ila ukitafakari kwa undani unagundua mungu alishasema ni viumbe dhaifu so unawasamehe lakini ukweli unawapa
"Mfano" Mwanaume kucheat ni kawaida sana wala haitaji mwanamke kulia lia ama kulalama,mradi tu hamdharau mwenza wake,Iwe mke au...
Mwl.Kaijage hujaridhika tu na uzi ulisnzisha hapa dakika chache zilizopita?
Umeamua kubadili ID na kuweka uzi uleule?
Pole mwalimu,kama walimu wote Tz wangekuwa na fikira kama zako sijuwi tungekuwa na taifa gani.ebu ipe taasisi ya mateacher thamani kidogo bw kaijage.
Polisi mkoani Kagera yakiri kutoroka kwa Mtuhumiwa Graudesia Ndibalema aliyekamatwa kwa tuhuma za mauaji ya Albino.
Huu ni mzaha watu wapo kwenye kampeni kali ya kupinga na kulaani mauwaji haya ya kikatili na mtuhumiwa wa mauwaji hayo analindwa na kushikiliwa kizembe hadi kupelekea kutoroka.Huku...
Zitto zuberi kabwe kila idara keshakuwa mwimba iwe taasisi hata mtu moja mmoja ona sasa kashaingia kwenye ugomvi na mzee mengi
Wakati sisi tunajuwa huyu mzee sio mwanasiasa shame
JF kisiwa cha habari za uhakika na haraka zaidi
We endelea kuangalia Shikorobo upuuze habari then vitu vya kweli uite upuuzi na vya uongo uvisifu kule kwenye KIU
Freeman alishawaeleza toka jana kwenye mikutano ya cdm ya mafunzo ole wao wasogeze uchaguzi nchi itawaka moto
Sasa waache wapuuze kama walivyopuuza swala la kura ya katiba sprili 31 na wakachemka washuudie moto wa kweli
Hahaha huyu jamaa anamatatizo makubwa sana kwenye ubongo kwanza sio mzima
Nimejiuliza kwenye badiko hili uchaga umeanza je?sikupata jibu na mpaka sasa natafakari tu.....bila majibu kwa mwenendo na watu kama hawa hili taifa lipo pabaya sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.