Recent content by Kublai

  1. Kublai

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Dr. Slaa na Tido Mhando wa Azam TV

    Sio hivyo tu wako wengi wanajuta kuzaliwa kwenye linchi linaloongozwa na Mafisiem, wanajuta kumpa kura Nkapa, wanajuta kumpa kura Mkwere, wanajuta kunyamazia Mafisadi kuhonga vibabu vidhaifu, tunajuta hata kwanini chama cha choo kipo mpaka leo, tunajuta mambo mengi tu
  2. Kublai

    JamiiForums Tanzania Mali alizochukua Mkapa na familia yake

    Urais lazima iwe taasisi inayojiheshimu. Na kupitia CCM hilo haliwezekani. Tudai katiba mpya tukomeshe haya mawazo mgando ya kuona ufisadi ni dili.
  3. Kublai

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi amefuata/atafuata nyayo za Regina Lowassa?

    Zamu yake ya kutesa ilishapita.
  4. Kublai

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, tuombe radhi CCM kwa kuita chama choo

    Kama amewafurahisha awaombe radhi ya nini? Na hakusema mpo kwenye kinyesi alisema nyinyi ni kinyesi kinachonuka na hamfai kuhamishiwa ndani.
  5. Kublai

    JamiiForums Tanzania Chopa anayotumia Lowassa

    Nimeshindwa kujizuia lakini nimependa slogan yako kidogo ifanane na ya Dr Mihogo Nitasimamia, nitatetea ninachokiamini daima....mpaka wafike bei.
  6. Kublai

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa mwingine waja UKAWA/ CHADEMA

    Mpasuko wa kwanza bado tunausubiri. Au tuachane nao tudandie huu wa pili?
  7. Kublai

    JamiiForums Tanzania NEC: Watanzania wote watapiga kura popote walipo Tanzania ilimradi uwe na kadi (IMEKANUSHWA)

    Tume ya Uchaguzi kwanza watuthibitishie kwamba wana uwezo wa kuzuia mtu asipige kura mara mbili. Katika zoezi la uandikishaji kuna watu waliojiandikisha mara moja lakini wametokea mara mbili. Na kuna watu wamejiandikisha lakini data zao hazionekani. Sasa hii hii Tume iliyoelemewa na zoezi la...
  8. Kublai

    JamiiForums Tanzania Hakiki kitambulisho chako cha kupigia kura hapa!

    *152*00# ndio mpango mzima
  9. Kublai

    JamiiForums Tanzania Changia UKAWA/Lowassa kwa Tigo Pesa, M Pesa na Airtel Money kwa njia hii

    Vyote. Marafiki zake yale mafisadi papa yamemgeuka wameamua kumchangia Makufuli. Mgao wa Escrow pia hakuwepo sasa hela atowe wapi?
  10. Kublai

    JamiiForums Tanzania Swali la Ukorofi: Vigogo wa CHADEMA Wanaomuuza Lowassa Wakianguka Bunge Iweje?

    Sawa Mzee tumekusikia. Tukishindwa tutakupa wewe uenyekiti wa hili dubuwasha letu.
  11. Kublai

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Kiroho mpe kura, kimwili ipe kura UKAWA
  12. Kublai

    JamiiForums Tanzania Nasubiri Kubenea aje kutengua kauli ya MwanaHalisi!

    Kama sio mbio za mwenge hata wewe ungekuwa bado uko kijijini.
  13. Kublai

    JamiiForums Tanzania Mikakati dhidi ya Dr. Slaa: UKAWA mnaona hii ni sawa?

    Umeanza tena.
  14. Kublai

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Kiroha yuko UKAWA ila kimwili yuko Sisiemu
  15. Kublai

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    CCM na ahadi zake. UKAWA na mahaba yetu.
Back
Top Bottom