Recent content by Kubbra Hooda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla: Walishindwa kuniua wakati ule! Naingia vitani kwa silaha zote na vita ni asili yangu

    Akubali tu amekalia kuti kavu... Kaka kuna mademu ukiingia ni kama umeingia mlango wa 8 mambo yako yotee yataharibika.... Sijui ule weupe ndo umeku zuzua maana mfupa ulomshinda fisi bila woga paka ukaruka nao...Muda huu naona ungetumia kujibu shutuma kali zinazokukabili juu ya wizara unyoitumikia.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maneno ya dharau na kuudhi ya Juma Lokole kuhusu mtu mweusi yanaudhi na kushawishi unyonge kwa vijana wanaomsikiliza ambao ni weusi

    Mkuu yapuuze maneno yake . Ubongo wake umeanza kuchanganyikana na NNYA
  3. K

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Darleen: Aliyemremba bibi harusi fundi kweli kweli!

    Kwa kweli huyu bibie mpambaji anaeeza pata lawama buree maana uso wake haukubaligi make up. Kwa mara ya kwanza nimeona kapendeza na nimeskia make up artist alokubali kuvaa mabomu ni LAVIE
  4. K

    JamiiForums Tanzania Shamsa Ford asema mahari yake ni Milioni 20

    Shamsa dear amka UTASUSU KWA BED
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bar ya Aunty Ezekiel yafungwa

    Binamu habari ndo hiyo fatilia source zako utaona yaliyomo yamo. Mbn hata birthday ya Biskuti uncle sponsa ndo alifanya na akamyima mama mtu kumualika mkata viuno wa Diamond
  6. K

    JamiiForums Tanzania Muna Love: Nilikuwa naenda kwa waganga kila wiki na marafiki zangu

    Hehehe ajikute tu na hilo jina ndo linampa ugali[emoji23][emoji23][emoji23]kwanza ana laana ya Peter yule mumewe. Alimfanya akatelekeza familia(kirogo kilikolea)Mwanaume akawa ndodocha Muna akawa anatembea na kalala jr anamfanyia party na kumuhonga magari Bado machozi ya mamake,Machozi ya mke wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bar ya Aunty Ezekiel yafungwa

    Mama Biskuti alimpora huyo danga kwa yule muogea maziwa na yy akaona afunguliwe biashara sare sare na mwenzie ..Ndo chanzo yy na binti wa balozi wasialikwe kwenye uzinduz wa reality show juz kati hapa,Sasa juzi sponsa kadhamin birthday mama biskuti kaenda kulambanalambana na Iyobo. Sponsa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Muna Love: Nilikuwa naenda kwa waganga kila wiki na marafiki zangu

    Rose Alphonce Nungu jina la Mungu si lakutajwa ki nafiki utaumbuka siku si nyingi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ali Kiba hatoi ngoma?

    Ushabiki kindakindaki dhidi ya kiba unakufanya upingane na namna unavyoelewa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ali Kiba hatoi ngoma?

    Hiyo nyimbo ni ya Aslay yy kashirikishwa nadhan anachomaanisha Mdau ni atoe nyimbo yake mwenyewe au yy ashirikishwe
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

    Soma uelewe kilichondikwa kwanza
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

    Koma alama ya mkato mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Inapatikana wapi hiyo?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kung'aa na kujichubua

    Bila shaka ww ni wakala wa Director Joan
  15. K

    JamiiForums Tanzania Huku E-FM kumekucha, yule mrithi wa kiti cha Maulid Kitenge amepatikana

    Huyu kuongea kwenyewe hawez anauma maneno kama shetani anatafuna UBANI
Back
Top Bottom