Recent content by kub

  1. K

    Magufuli akifuta kitengo cha Lishe cha rais na Dawati la wageni Ikulu

    Hahahaaaa....mkuu umeua bendi
  2. K

    Wale wa NACTE waliochaguliwa UDSM

    Poa mkuu...thanx 4 updates...mungu ndiye mweza wa yote!!...mkuu ulichaguliwa kozi gan?
  3. K

    Wale wa NACTE waliochaguliwa UDSM

    Medicine kaka...yaan tcu..nacte & loan board washamaliza yao...tatzo confirmation...ukienda wanakwambia kama hujaona jna lako kwenye website ucje!!
  4. K

    Wale wa NACTE waliochaguliwa UDSM

    Mkuu ndo hivyo....sasa celew kuna mchezo gani aiseeeeee!!!
  5. K

    Wale wa NACTE waliochaguliwa UDSM

    Mkuu vp uliwapgia tena?...nshachaganyikiwa kabsaa..mkopo umesoma but confirmation from udsm from udsm!!!!????...yaan daa!!
  6. K

    Mpaka Leo Hatujawa Confirmed Nacte

    Mkuu the same to me...vp twenzetu udsm tukacheki ndugu yangu may be majna yetu yapo huko chuon!!!
  7. K

    Selection UDSM Kunani, NACTE hawajui?

    Mkuu vp..umeenda udsm leo?
  8. K

    Selection UDSM Kunani, NACTE hawajui?

    Poa mkuu..in short faculty ambazo wamereject majna n DUCE..MUCE..
  9. K

    Selection UDSM Kunani, NACTE hawajui?

    Mkuu ahsante...nilienda nacte wakaniambia kwa jna langu halimo kwenye rejected list na vilevile kwa faculty niliyoomba udsm haijawarudshia majna yoyote...majna ambayo udsm imerudsha n za faculty zngne......tatzo confirmation!!!!..daa..nahic kuchanganyikiwa then leo ndo wameanza kuripoti!!
  10. K

    Selection UDSM Kunani, NACTE hawajui?

    Mkuu nadhan wanaweza kukuonyesha.
  11. K

    Selection UDSM Kunani, NACTE hawajui?

    Umenena mtanganyika wa ukwei
  12. K

    Selection UDSM Kunani, NACTE hawajui?

    Yaan majanga mkuu....maana sifa za kujiunga na vyuo vikuu vnaandaliwa na Nacte & Tcu na hizi zote n taasis za serikali....so m na wewe hatuwez jua kilichopo nyuma ya pazia!!
  13. K

    Selection UDSM Kunani, NACTE hawajui?

    Udsm wamerudisha majina kwa baadhi ya kozi pale nacte....ukienda wanakuonyesha(jamaa wapo transparent sana2 wanakueleza kila ki2)
Back
Top Bottom