Natumia machine mkuu, nazi zinakunwa na machine na nakamua mqfuta kwa machine nachuja kwa machine. Mafuta haya yanakamuliwa kama yalivyo bila kuchemsha wala kuchanganya na maji
Mbona umeshangaa , haya mafuta ni mazuri sana hayaongezwi chochote na wala hayachemshwi hata hata kidogo nazi zinakunwa kwa machine na kukamuliwa kwa machine na kuchujwa kitaalam
Nataka kuanzisha ofisi ya mambo ya ushonaji nacdesigning ya nguo za aina zote, hivyo namtafuta fundi au designer mzoefu tutengeneze business plan ili tuanzishe hicho kitu. Kama wewe ni fundi au unayefundi tunayeweza kukaa nitext numbet 0758399818.
Haya ninayotengeneza hayana harufu, yanatengenezwa bila kuchemsha (cold extraction) yanaitwa mafuta mwali ya nazi. Unaweza kunipata kwa number 0758399818
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.