Recent content by Kristin

  1. K

    Natafuta maid/ housegirl

    eti eeeh..... nimekwama
  2. K

    Natafuta maid/ housegirl

    duh balaa
  3. K

    Natafuta maid/ housegirl

    HABARI ZENU WAPENDWA, natafuta yaya/ maid wa kulea mtoto wa miaka 4 wa kike. kama unataarifa zozote tuwasiliane hapa au hata kwa pm sifa zake; awe na umri usiopungua miaka 25 makazi ni Arusha. awe ni wa kuishi hapohapo wazazi ni waajiriwa salary 80,000- 100,000. awe mchapa kazi sio mpaka...
  4. K

    Naulizia saluni nzuri ya kike moshi mjini

    we nawe ni great thinker?
  5. K

    Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...

    yaani sijacheka hivi muda sasa, ofc nzima ni hatuna mbavu, jamaa wameamua kujoin jf, dubu we ni balaaaa! hahahahahaha eti manyaunyau mwenyewe yuko ka super nyamwela yaani ndio umeniamaliza kabisaaa
  6. K

    Demu ananiomba anilalie zipuni!!

    hahahaha. mke wa mtu sumu lakini sikiliza moyo wako. yaani maswali mengine jaman
  7. K

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    si sexually transmitted disease, so kwa kujamiina ni hapana.
  8. K

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    hahahahahaha bora kuwa celibate tu
  9. K

    Oooh!! Sinta

    duu mna balaa nyie!!
  10. K

    Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

    hata nyie wanaume mna miharufu yenu haturopoki ropoki lakini nyie kutwa kusema harufu za wanawake.
  11. K

    Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

    bonge la jibu hili,,,, we ni great thinker japo ni ishu ya kidaku
  12. K

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    iumweleze tu huyo niece msimamo wako na mfanye sherehe kifamilia na ndugu wa karibu , utakuwa umemfundisha kitu kitakachomsaidia maishani. kweli michango inaudhi mno
  13. K

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    mi naona bora kujikinga mapema ukiona mtu wa dini tofauti na yako anakunyemelea kimbiza ubawa wako fasta. why uanzishe uhusiano na mtu wa dini tofauti wakati unajua hautafika mbali.
Back
Top Bottom