Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

Wema si mzima kabisa kichwani!
arifu huyu shoree hamnazo kabisa....aisee...dogo nilimuona mshamba kutopokea pesa...lakini kumbe anamjuua huyu gume gume wake wa zamani kwamba anaharibu mahali popote....
 
Shoree mtupu kabisa. Kwanza lately kafanya nini cha maana? Hakuna! Hana hit movie wala nini. Ili kuendelea kuwa relevant anaunda drama kila kukicha.

Dogo ana hit songs kibao. Show zake zinakuwa sold out. Hamuhitaji huyo shoree hata kidogo. Sana sana shoree ni atamuharibia dogo. Sasa angepokea hizo hela ndo ingekuwa balaa. Ni bora hakuzichukua. Sasa sielewi kwa nini watu walimtaka azichukue.

Huyo Wema aende akawape watoto wa mitaani hizo hela zake.
 
kwa kifupi wema ni msiba.....huyu demu anadhalilisha wanawake aisee.....nimesoma aliosema aisee...na dogo kweli nilimsikia akiongea ni kweli mtupu.......
 
Na hili Ndio tatizo kubwa la kulelewa na mzazi mmoja​

Tafadhali tuheshimiane bwanaaaa! Sisi baba yetu alifariki tukiwa wadogo sana, tumelelewa na mama kwa heshima na adabu kubwa na hivi sasa tuna familia na kazi zetu nzuri tu.

Usi generalise vitu kijana.
 
kwa kifupi wema ni msiba.....huyu demu anadhalilisha wanawake aisee.....nimesoma aliosema aisee...na dogo kweli nilimsikia akiongea ni kweli mtupu.......

Anadhalilisha wanawake gani?
 
Wema si taipu yao hawa wanaolialia kwenye media.
A gentleman leans to handle bwana.
Nataman sana niwe na wema tatizo kipaji changu bado sijakigundua.
Anyway time will tell.
 
Na hili Ndio tatizo kubwa la kulelewa na mzazi mmoja?

Aisee una mawazo mafupi sana mbona una dhalilisha watu kwa kiasi hicho??????nani alikwambia ukilelewa na mzazi mmoja ndo unakuwa hvy!kwa taarifa yako tuna maisha mazuri na tabia nzuri sanaaaaaaa kushinda hata zako usitutafutie ban!
 
Huyu ndo diamond nayemjua sasa!

Kuna ushahidi wa kutosha kwamba Wema hajui kujisafisha vizuri sehemu zake nyeti. That y wanaume hawadumu nae.Kuna pedeshee mmoja alimchukuaga zamani ile kuingia naye tu chumbani alivyovua nguo akashindwa kuendelea kutokana na harufu mbaya. so akampa laki mbili na hakumfanya chochote. So I think inabidi ashauriwe apate Kitchen party ya jinsi ya kujisafisha. And wanaume wengi huwa wanaona noma kumwambia demu live kwamba ana harufu mbaya sehemu zake nyeti. Bila hivyo atatatangatanga sana. Pia wanawake wengine wana kasoro kama yake bt hawajijui.
 
hata nyie wanaume mna miharufu yenu haturopoki ropoki lakini nyie kutwa kusema harufu za wanawake.
 
Hao ndio wasanii wa bongo wenyewe wanajifanya ndio akina Jay Z, JLo, Beyonce, wana kazi kweli
 
Tatizo hajui kuoga vizuri. Wema ana harufu sehemu za siri. so wanaume hawadumu nae.So inabidi apate kitchen party jinsi ya kujisafisha sehemu nyeti. vinginevyo hakuna mwanaume atakayedumu naye.

Karibu JF!
Maana umekuja na speed cha Ngorika vs Buffalo (enzi hizo)
I am wondering if all your accusations are true.
Remember at one time Wema was miss Tanzania.
Hao wanaume kama kweli wanampenda wangemsaidia kuondokana na hilo tatizo unalosema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom