Wingi wa sperms unategemea aina ya vyakula atumiavyo mtu. Mfano chakula vya protein kama maziwa, Mayan na. samaki n.a. matunda pamoja na. Unywaji maji kwa wingi.Pia ulaji wa vyakula vya kiasili kama karanga mibichi na mihogo mibichi. Ndio maana siku HIZI imezuka biashara ya akina mama kutembeza...
Risky ya kuambukizwa hupungua sana WaPo
i) umetahiriwa
ii) Huna vidonda / UTI
iii) Iwapo mwenzako anatumia dawa. Inavyoonekana huyo demu wako yupo kwenye dose ndio maana wanamjua kua ANAO, huenda baadhi yao hukutana nao clinic.
2. Utafiti unaonyesha kuwa asilimia 95 ya wanaoambukizwa HIV , kwa...
Dr hivi ni kwa nini vipimo vya malaria hutofàutiana Kati ya hospital Moja na nyingine? Kwa mfano hospitali ya kwanza unaandikiwa 4 MPS/200 WBC na muda huohuo unakwenda hospitali nyingine unaambiwa 15 MPS/200 WBC.. Ipi ni sahihi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.