Recent content by kozaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwanza

    Naombeni wadau basi zuri la kwenda Mwanza, muda wa kufika kutokea DSM na nauli yake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

    Nawe bwana...anaetoa mishahara unadhani ni nani?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kuchelewa , tatizo walishatutengenezea mazoea ya kila tarehe 22 kitu kinasoma

    Wakati wa kuongelea mambo ambayo ni muhimu sana lazima mtazame na mnachokiongea je, kina maana? Unajua masuala ya mishahara ilishatolewa ufafanuzi na sasa mnachofanya baadhi yenu ni kutia doa na kuchafua tu. Naomba tuwe na nidhamu na viongozi wakubwa wa nchi yetu hata kama tunaanzisha mada...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma kama mlivyofurahia mshahara kutoka tarehe 19, furahini pia utakapotoka tarehe 31

    Wakati wa kuongelea mambo ambayo ni muhimu sana lazima mtazame na mnachokiongea je, kina maana? Unajua masuala ya mishahara ilishatolewa ufafanuzi na sasa mnachofanya baadhi yenu ni kutia doa na kuchafua tu. Naomba tuwe na nidhamu na viongozi wakubwa wa nchi yetu hata kama tunaanzisha mada...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

    Wakati wa kuongelea mambo ambayo ni muhimu sana lazima mtazame na mnachokiongea je, kina maana? Unajua masuala ya mishahara ilishatolewa ufafanuzi na sasa mnachofanya baadhi yenu ni kutia doa na kuchafua tu. Naomba tuwe na nidhamu na viongozi wakubwa wa nchi yetu hata kama tunaanzisha mada...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Handeni punguzeni kuomba omba hovyo kwenye mabasi ya abiria

    Shukrani...Karibu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliokuwa masomoni wamekosa sifa ya kupandishwa vyeo

    Broo...Tuheshimiane bwana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Handeni punguzeni kuomba omba hovyo kwenye mabasi ya abiria

    NAomba nitumie fursa hii kutoa mada japo kwa ufupi. Kwanza dini ya Uislamu haujafundisha masuala ya upuuzi kama huo wa kuombaomba hata kama unaomba nini haipo kwenye kitabu chochote cha dini ya kiislamu. Kisha baada ya kukuelimisha mtoa mada sasa naomba kichwa chako cha habari kigeuke na kusema...
Back
Top Bottom