Recent content by Koti Jekundu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Nape Nnauye

    Kwa Kweli Elimu ya Nahum ni Kizungumkuti
  2. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Nape Nnauye

    Nahum Moses Nnauye
  3. K

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Mzumbe University ni kama Pombe ya Ngomani yeyote anaweza kwenda pale akajiregister, akaendelea na shughuli zake then baada ya miaka miwili anarudi kuvaa joho.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Nape Nnauye

    Nope anaona Aibu kuweka Matokeo yake ha ha ha
  5. K

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Ama Kwa Hakika leo Watu Wazima wameumbuka. Leo umati huu wote unaprint hii DOC na kuipeleka kote ambako Masalia walipita. Nape ameamua kufa na Masalia
  6. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Nape Nnauye

    Mkuu Nape hawezi kujitokeza Hadaharani Kuelezea Elimu yake. Nape analiwinda sana Jimbo la Ubungo sasa anahisi Masalia wanaweza Kumsaida Nape alifeli Form Six baada ya Kukosa Sifa za Kujiunga Chuo Chochote Cha Tanzania. Kwa sababu Mzee Yusuph Makamba alikuwa na Uhusiano wa Karibu na Baba wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    Hakuna mahala Mnyika amewahi kusema alipta division one point tatu Tambaza. Yaani mna mlisha Maneno halafu mnataka ayathibitishe. Ndio Upuuzi wenyewe huu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    Funy enough inawezekana kabisa wewe ndio wale wadada wa Degree za Chu.pi ha ha ha weka CV yako
  9. K

    JamiiForums Tanzania Siri Za Bunge Zaanza Kuvuja. Kashilila Aanza Kutapatapa

    Mkuu mohamed Mtoi fuatilia Maelezo ya January wakati alipokuwa Mchangiaji wa Mwisho katika Hoja ya AG. Dogo ni Mpuuzi sana kwa kweli hilo gazeti limezungumza kile ambacho nilismikia Makamba
  10. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    Upuuuzi. Upuuuzi. Upuuzi. Kuliko kuendelea kuchangia huu Upuuzi ni bora niende zangu Machinjioni Nikachinje kandama kangu nikaingize Sokoni. Butcher langu limenadikwa haleluya Butcher. Karibuni wote
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    Tutaanza kwapelekea Nguruwe Watuchinjie
  12. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    Masalia tafuteni Gia Nyingine hii Mliyoanza nayo ni namba Tano Engine itazimika
  13. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    Wewe ni Mpuuzi kama Wa.puuzi wengine Mnyika Mtoto wa Juzi tu unasema anaficha elimu yake? Kwani Mnyika amesomea Mbinguni mpaka watu wawe hawaijui elimu yake hadi apande Jukwaani. Mnyika akipanda Jukwaani kujibu huu Upuuzi atakuwa M.puuzi kuliko wewe. Mnyika 1. Kamaliza Darasa la saba mwaka...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    Ni wapi na Lini Mnyika ameshawahi kuzungumzia Elimu yake? Wapi na lini Mnyika ameshawahi Kusema ana Degree? Nimesema Mnyika akijiyokeza na kujibu huu U.puuzi na yeye atakuwa M.puuzi kama Ninyi
  15. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    Masalia naona wameamua kuanza na Gear namba nne kuendesha Gari. Hakika wameshindwa. Hakuna hata Salia mmoja anayeweza kujifananisha na J J Mnyika. Narudia tena hakuna.
Back
Top Bottom