(Alisema chanzo kamili cha ajali hiyo bado kinachunguzwa na vyombo husika)
Hapa mamwera ndio wana makosa maana kwa ninavyowajua ndugu zetu wa fuso kama angekuwa na makosa tayari chanzo kingesemwa
Jamaa ameongea kitu kwa mihemko, leo hangaika na mtoto na mwanamke, kesho utakapoanza kuwa kibogoyo ndipo utakapojua kwanini ulijitesa bila kujua mtoto atabaki kuwa wa mama kwako attrition jina la lako na la ukoo tu
Beijing conference ndio iliturn the situation, angalia wanyama wote, ndege na...
Zoezi hilo lipo nchi nzima ila kwa sasa kodi ya jengo itaenda kwenye halmashauri husika sio hazina kama ilivyokuwa enzi za Magufuli,
Wanachofanya ni kuhakiki upya majengo yote.
Note
Nakataa hii kitu, mimi nina ushahidi wa famikia yetu, mama alianza kupata kazi kabla ya mama na wote wakawa wafanyakazi, na mama alikuwa anamuheshimu baba kwa hali zote
Mwanamke mwema hutoka kwa Mungu na changamoto inayotokea ni kwamba tunachagua mwanamke kwa utashi wetu siyo kumshirikisha Mungu...
Kipi kipya hapo? Mpina kuhusu bashe alikuwa anaongelea chooni? Sisi tunafurahi kwa maana tunajua mwisho wao umefika, chama dume kiendelee kushine
Watched wafu wazike wafu wao
Kuchukua fomu siyo sawa na kwenda kurudisha fomu, vikao vya maadili hukata watu kwa kwenda na kundi la watu na shangwe kwani hutafsiriwa kama kuanza kampeni kabla ya wakati
Naamini kanuni na taratibu zinazoongoza uchaguzi wao wagombea wanajua
We nawe poyoyo kweli, unataka kufananisha mfumo wa chama kimoja kipindi hiko na sasa,
Hata chama changu pendwa ccm kila miaka kumi tunabadilisha mwenyekiti
Daah zito kweli kaisha, hv yeye mfano inatakiwa barua ya utambulisho kwa ajili ya dhamana labda mahakamani, ya ndugu yake hataenda kwenye ofisi ya mtaa kuchukua?
Ni upuuzi mtupu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.