Recent content by kosta

  1. kosta

    Wenye akili sana maisha huishia njiani

    WATU WOTE TUNA AKILI ,ILA TOFAUTI NI KWAMBA WALE WALIKUA NA UWEZO MKUBWA WA KUKARIRI WALIVYOFUNDISHWA , IVO NI KAMA FOMULA IMEKAA KICHWANI ,UKIJA MTAANI HAUTUMII CHA DARASAN HATA KIMOJA UNATAKIWA UWE NA UWEZO BINAFSI ASNTENI
  2. kosta

    Rais Samia ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa Mabadiliko ya TabiaNchi

    NDUGU YANGU RAIS WAKO NI NCHI YAKO ,TUMSHUKURU MUNGU KWA KUMUWEKA SAMIA TUSIWE KAMA WANA WA ISRAEL , TUMPE MOYO WA USHIRIKIANO RAIS WETU , AMERUHUSU AJIRA KWA WATANZANIA NA ANAZIDI KUWEKEZA ILI TUPATE AJIRA ZAIDI , TUPENDE VYA KWETU 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  3. kosta

    Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

    WEWE UMELIFANYIA NINI TAIFA UKIWA RAIA, NA JE UMEGUNDUA NN CHAKUFANYA TAIFA LIENDELEE, PIA UMESHAURI NINI KIFANYIKE ILI NCHI ISONGE MBELE ZAIDI, ILI MTU AENDELEE ANAITIJI KUDAI NA KUDAIWA
  4. kosta

    Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

    NDIO MAANA Wao ni masikini ndio maana hawana uwezo wa kulipa bill za maji na umeme, sisi hatuko kwenye hilo kundi bro
  5. kosta

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

    AMESEMA SERIKALI YA AWAMU YA TANO ILIWEKA MKAZO MKUBWAKATIKA KUJENGA IKULU , KUTAJA SERIKALI KESHATAJA KIONGOZI WA JUU WE UNACHOWAZA SIO WATU WOTE TUTAWAZA KAMA WEWE , HATA AKITAJA ANAKUONGEZEA NN AU UNAPUNGUKIWA NA NN
  6. kosta

    Rais Samia - Ikulu ni ya kila Mtanzania

    MBONA KAANDIKWA HAPO NAMBA TANO ,WEWE NDO UNAMKWEPA ALAF UNASEMA WENGINE
  7. kosta

    Inawezekanaje mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa kujihusisha na ufisadi?

    ACHA KELELE WEW CCM KUKUJENGEA BARA BARA , HOSPITAL ,SGR, BOMBA LA MAFUTA, MADARASA , ELIMU KIMARIKA MAJI UMEME, NK NDIO UFISADI
  8. kosta

    Utajiri wa Tanzania. Halafu jiulize Kwa nini ni masikini

    TUKIKUPA HII NCHI DAKIKA KUMI NYINGI UTAKUFA, TUWAPONGEZE VIONGOZI KWA UJASIRI NA UVUMILIVU WAKUWEZA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZILIZOPO NA KUZITATUA KWA WAKATI ,HUU SIO MDA WAKUWALAUM HATA KIDOGO MUNGU AWAPE NGUVU VIONGOZI WETU WAKITAIFA
  9. kosta

    Ni kweli makampuni ya Australia yametuingiza chaka kuvuna Graphite na Niobium mikoa ya Lindi na Mbeya

    MKIKOSA AJIRA MNALALAMIKA ,MKITENGENEZEWA AJIRA MNALALAMIKA , EE MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE CC WAAFRIKA JINSI YAKUFIKIRI VEMA
  10. kosta

    Ni kweli makampuni ya Australia yametuingiza chaka kuvuna Graphite na Niobium mikoa ya Lindi na Mbeya

    WEW HAUNA UZALENDO HATA KIDOGO, UNATAKA CC TUENDELEE KUKAA MTAANI BILA AJIRA WAKATI RAISI WETU MPENDWA DR SAMIA SULUHU HASSAN AMEAMUA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIZAZI VYA SASA , MUWE MNAFIKIRIA SIO KULAUM KILA JAMBO, HONGERA SAN KWA MPENDWA RAIS WETU KWA UZALENDO MKUBWA KWA WANANCHI WATANZANIA
  11. kosta

    Watanzania tuliumbwa kupigwa, kwa hii orodha najuta kuwa Mtanzania

    MI NAISI KAMA HAUUGUI UTAKUA UNAUMWA NA KAMA HAUUMWI UTAKUA NA MSONGO WA MAWAZO, KICHWA CHAKO KINAWAZA VITU VIDOGO VIDOGO
  12. kosta

    Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

    INAWEZEKANA KUNA KITU UNATAKA KIWE SAWA ILA UMESHINDWA KUKUWASILISHA UMEISHIA KUTEMA POVU
Back
Top Bottom