Recent content by kosseyS

  1. K

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    mleta mada pumbafu zako Lissu alipigwa kwa qmri ya dola, Trump dola haihusiki. kama huna cha kuzungumza nenda kajisaidie ulale usilete uharo wako hapa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

    huyu ndiye Rais bora kushinda awamu zote
  3. K

    JamiiForums Tanzania Angalieni PhD fake zinavyowaumbua

    Utafiti wa ukweli utakaomwezesha mtu kupata shahada kubwa ya uzamivu (PhD)kamwe hawezi kuufanya na huku akifanya kazi ya uwaziri. Ina maana unamweka mtu akukusanyie data. Kwa Wale mnaomkumbuka marehemu Edward Moringe Sokoine huyu aliacha kazi ya uwaziri mkuu akaenda iliyokuwa Yugoslavia kusomea...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Umewasikia WanaSimba! Wanasema 8/5/2021 siyo mechi bali ni siku ya mazoezi kwao kujiandaa na Kaizer Chiefs

    Kujiamini sana ndiko kulikomponza Yuda Eskarioti aitwe msaliti hadi leo. Nigeria nao wolrdcup ya mwaka 1998 walijiamini sana wakaanza kucheza na Brazil kabla hawajacheza na Paraguay maana waliona teyari huyo wameisha mfunga matokeo yake wakapwiga bao 4- 1 wakafungasha vilago. Na Simba nao...
Back
Top Bottom