Recent content by KOROSHO BOMBA

  1. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mitimu ya taifa jau sana hasa Ujerumani.
  2. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Huna rafiki kazini

    Hakuna rafiki wa kweli popote pale. Rafiki wa kweli ni mzazi wako na watoto wako. Na mke/mume kama ukiotea.
  3. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Akina Vozinha wamedhalilishwa kwao na Rwanda, wamepigwa 2-1. Mpira wa Africa umebadilika sana

    Cape Verde ni wathenge wametuchania mikeka kwenye World Cup, wamekuja kuchana na huku tena. Ilo Vozinha Leo lilikua kama fala flani hv.
  4. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Swala la nguvu za Giza linawezekana. Haya makampuni yanafata misingi yote ya uendeshaji wa biashara ikiwepo utoaji wa kafara.
  5. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ungekua unaicheki game Wala usingethubutu kusema hivyo, hamna kitu wale jamaa. Au wachezaji sio wale wa World Cup labda. Nimecash out dk ya 55 tu.
  6. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Cape Verde wa AFCON na World Cup ni tofauti kabisa. Wanacheza utumbo tu.
  7. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kipa wa Uturuki mchele mchele
  8. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😀 Plate namba A chafu Hivi sisi wa 2017 tutakua plate namba ipi, labda C. Nakumbuka naanza kubeti, Mbwana Samatta yupo Genk, Van Persie anachezea Feyernoord, Hans Van Haken ndo usajili mpya wa Club Brugge kwa Sasa ndo captain wa timu, dah nishakuwa mkongwe kwenye game na bado kanji kagoma...
  9. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh kanji kachoropoka na hapa 🙌🙌
  10. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

    Upo sahii Upo sahihi mzee, ila inategemea na matumizi ya mtu. Binafsi Mimi ni heavy user natumia internet muda mwingi hata mpira naangalia kupitia internet, nishaacha kulipia ving'amuzi mechi zote mpaka za NBC premier league naangalia online kupitia fawanews.com. kwaiyo kama wewe ni heavy user...
  11. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi kumbe betting ipo Bongo Tangu 2003 ? Mi nimeijua 2014, nimeanza kucheza 2017.
  12. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Kipa atatupa sare nyingi sana, kwa huyu straika ni bora Mstaafu John Bocco arudishwe tena kikosini

    Uliyoongea ukweli mtupu. Yule kipa ni shati kabisa. Barker amewaonyesha viongozi aina gani ya wachezaji wa kusajili. Siku akiondoka Simba itarudi kwenye sajili za akina Mutale. Pale uongozi una shida.
  13. KOROSHO BOMBA

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Fungua mechi husika, Kisha angalia juu kushoto utaona BB ndo hapo Bet builder.
Back
Top Bottom