Recent content by Kool the gang

  1. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Nyumba ya Chini Kua Ghorofa kwa Kuongeza Nguzo na Tofali za Kulaza?

    Use your common sense dude. Break your whole house and start building a new foundation of the bungalow you want to build otherwise you need to prepare yourself for the worst.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachimbaji zaidi ya 200 wahofiwa kufariki huko Geita Machimbo ya Msasa baada ya maduara kuanguka

    Wazee wa ponchi na nyundo aka manyani, Kazi ya hatari sana hiyo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Na Miaka 27 mkuu. Vp hakuna nafasi kwa watu wa umri huo?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Mkuu Kalaga Baho Nongwa binafsi nikibahatisha trainee ya upishi au receptionist nitafurahi sana.... Anyways hivi wapishi na ma receptionist wanalipwa kiasi gani uko mkuu Zenji?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Bora nifanye kazi za hotelini aisee.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Mazee Kalaga Baho Nongwa nakutegemea sana katika hili.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Mkuu ukipata hizo nafasi za TRAINEE huko mashambani za kuanzia mwezi wa nne tujurishe mkuu.....elimu form 4...... English yangu ni kama ya Obama Haina makandokando kama ya kinaijeria.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Mkuu ukipata fursa za TRAINEE kwenye hoteli yoyote Ile naomba utujuze.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    God will grant the desire of your heart.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

    Video vixen ambaye amechange na kuwa prostitute wa viwango vya juu kibongobongo mkuu, From Diamond to Majizzo to Rick rozee to Aziz K and the list goes on, by the way Diamond ndiye aliyempa huyu binti umaarufu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nasubiria kwa hamu vita ya Ukraine iishe nikatafute kazi

    Dah! Mkuu Urusi bado anashua mabomu yake ujue.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nasubiria kwa hamu vita ya Ukraine iishe nikatafute kazi

    Kwa Serikali hii mkuu futa wazo, kwasasa wao wanawaza uchaguzi tu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nasubiria kwa hamu vita ya Ukraine iishe nikatafute kazi

    Ngoja tuwasubirie wazee wa majuu, hao niliowatagi binafsi passport ninayo na nauri ninayo labda waninyime viza tu mkuu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nasubiria kwa hamu vita ya Ukraine iishe nikatafute kazi

    Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Dar msaada wenu

    Wabongo wamemsakama mpaka msela kapotea dah! Noma sana.
Back
Top Bottom