Naijua kwa uchache hiyo security company ambayo chimbuko lake ni huko American nahisi, ndani Kuna wasomi kibao Kuna hadi waandisi wapo ,wapo wadada wameajiriwa leo katika balozi mfano ni Japan Embassy ila walianza kama walinzi. Kila mtu ana namna yake ya kuyafikia mafanikio. Nimewahi kutana na...
Kwa kanuni na Sheria ndani ya Jamhuri ya Tanzania, jeshi la Polisi Tanzania ndio lenye mamlaka ya kulinda raia na mali zake, hivyo vitendo vya wanananchi kutekwa na kuuawa jeshi ili linatakiwa kupokea lawama juu yake na kukabiliana nazo kikamilifu.
Ni aibu sana tena kama wauni wanadiriki...
Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo:
"Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya
Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.