Recent content by Konny Joseph

  1. K

    Kiburi cha Madaraka

    Hii inaleta picha gani kwa jamii labda??
  2. K

    Kuna Ulazima Gani kwa Waombaji Ajira JWTZ Kulazimishwa Kupeleka Maombi Yao kwa Mkono Makao Makuu Dodoma

    W atu walishaitwa kimyakimya wapo makutupora kwa ajili ya usajili!!
  3. K

    Kuna Ulazima Gani kwa Waombaji Ajira JWTZ Kulazimishwa Kupeleka Maombi Yao kwa Mkono Makao Makuu Dodoma

    Nashukuru kwa maoni yako,ila ongeza juhudi uwe na maoni na maono mazuri!!
  4. K

    Kuna Ulazima Gani kwa Waombaji Ajira JWTZ Kulazimishwa Kupeleka Maombi Yao kwa Mkono Makao Makuu Dodoma

    Hivi majuzi tumeshuhudia msemaji wa Jeshi akitangaza nafasi za kuandikisha vijana Jeshini pamoja na sifa na vitu vyengine kuhusiana na maombi hayo. Pamoja na hayo ameelezea utaratibu kwa waombaji wa nafasi hizo,bila kuanisha utaratibu wa kutuma maombi hayo kwenda Makao makuu ya jeshi Dododma...
  5. K

    DOKEZO Chuo Kikuu Huria (OPEN university) kinachelewesha research za Wanafunzi, unaweza fanya hata miaka Minne

    Kwani hao wengine wanaoleta malalamiko humu huwa hawana hizo internal procedure? Kila taasisi ina internal procedure,shida ni kwamba how is it effective!! Mimi niliwahi kutokuwekewa mark ya somo ambalo nilifanya mtihani,nimelalamika ngazi zote mpaka leo,hapa najiandaa tu nifungue kesi...
  6. K

    DOKEZO Chuo Kikuu Huria (OPEN university) kinachelewesha research za Wanafunzi, unaweza fanya hata miaka Minne

    Sasa ikiwa wewe hujapitia hiyo changamoto,kwa hiyo kilichowasilishwa hapo ni uongo au,hii ndio shida ya magraduate wetu ndio maana mnaambiwa mwende VETA. Na ndio unasema una LLB hapo ulipo!!
  7. K

    Uajiri Ndani ya JWTZ Bado Una Utata na Ukakasi.

    Tunachoongelea hapa ni ajira,sio siri za kiutendaji. Ajira siku zote hainaga siri,kwa kuwa ni jambo la umma. Sasa labda utuambie usiri wa ajira upoje??
  8. K

    U.A.E waliamua kuachana na mrengo wa itikadi kali na siasa za fujo. Leo ni nchi ya kuigwa. Wenzao wamebaki kuwa wanaharakati wa mambo yasiyoeleweka

    Kuna mambo hamuyaelewi,na sijui itachukuwa muda gani kuyaelewa. Maana wanaosimamia misimamo thabiti ya kidini wanaitwa watu wa itikadi kali,kinyume chake ni manabii wa uongo na masheikh ubwabwa. Wanaosimamia matakwa na maslahi ya umma wanaitwa wanaharakati,nao pia wanachukiwa kama...
  9. K

    Uajiri Ndani ya JWTZ Bado Una Utata na Ukakasi.

    Hayo ni machache kati ya maovu unayoyafahamu. Watu wengi wanachoangalia ni kwamba hawawaoni wanajeshi barabarani wakikagua magari. Au kuingia mitaani na kukamata polisi.Hivyo wanawaona wanajeshi ni wema kuliko Polisi.
  10. K

    Uajiri Ndani ya JWTZ Bado Una Utata na Ukakasi.

    Pamoja na changamoto zilizopo huko lakini kuna aina ya uwazi imewekwa. Issue sio kupata au kukosa ajira,issue ni uwazi na mianya ya wazi ya rushwa.
  11. K

    Uajiri Ndani ya JWTZ Bado Una Utata na Ukakasi.

    Hapa hoja yako ni nini labda??
Back
Top Bottom