Recent content by KONDOO MTATA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu.JPM

    Kaka mkubwa ni muongo sana.Na anasema uongo kwa ukali.Na hataki aulizwe.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Tegeta, Goba, Bunju, Boko

    Nina kiwanja Mapinga Bagamoyo 20 kwa 20.Kilomita Moja toka Barabarani.Mani umeme vipo na majirani wana nyumba za maana.0652409259.Kama utahitaji au yeyote anayehitaji.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwantumu Mahiza alistahili kuteuliwa Mkuu wa Mkoa

  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni uongo upi mkubwa zaidi umewahi kuambiwa?

    Mwigulu chadema wanafanya ugaidi nitatoa ushahidi hata mbinguni!!akashindwa kwenye mahakama za duniani sasa mbinguni itakuwaje.Hawa ndo wanaitwa kuzindua kwaya na matamasha.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi kulazimisha darasa la saba boarding ni shida ya serikali?

    Hizi shule binafsi zimekuwa na mbinu nyingi za kula hela za wananchi.Watoto wakifika darasa la saba wanalazimishwa kwenda boarding kwa kisingizio cha kufakufaulu.Hizi shule ukiangalia wanaokuwa boarding wanafeli kuliko wanaoenda na kurudi.Lakini kwa uroho wa pesa wa wamiliki hata kama mtoto...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mhubiri nchini Afrika Kusini, huwalisha waumini nyoka, nywele, huwakanyaga eti ili kupima imani yao

    Hawa watu shida yao ni hela kwa hiyo kaka lazima upate kadi ya mwaliko ili mkiwa wengi burungutu liwe kubwa.Halafu hawataki kusikia habari na huko vijijini wao ni mjini tu.Ukienda kwenye makusanyiko yao unaambiwa kanisa unalotoka kuna wachawi kwa hiyo hamia kwao.Huu ni uhuni wa mjini wengine...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mhubiri nchini Afrika Kusini, huwalisha waumini nyoka, nywele, huwakanyaga eti ili kupima imani yao

    Hii hata Tanzania ipo kuna mmoja anaitwa Paulo Holela na mkewe hapo Haider Plaza ni vituko kwa kwenda mbele.Anaongea kama cherahani kila siku ni kutabiri
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nawapatia huruma sana hawa viongozi wa dini waliobaki ktk kauli mbiu za CCM.

    Hawa ni wala rushwa kama ccm baadhi yao hawana maadili kabisa.Ccm wanawasomeshea watoto wao usitegemee neno baya juu ya ccm toka kwao.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, Mitume na Manabii mliotuambia Mungu kawaambia Lowassa atakuwa rais wa Tanzania 2015?

    Kuna nabii Paulo Holela anayefanya huduma Hydery plaza posta alisema Lowasa ni rais pale Mbezi garden na misukule yake ikakubali.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kukata watu makoromeo yaendelea kutikisa Wilaya ya Bukoba

    Wanaitwa usalama wa siasa na sio usalama wa taifa.Ukitaka kujua ndivyo mtukane waziri au Riz1 uone asubuhi kama hutakuta nyumba yako imezingirwa na magari meusi na wavaa suti nyeusi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, nguvu ya giza yaweza kutibiwa na nguvu ya giza?

    Hebu tuache tujisemee wenyewe binafsi mada za Mshana zinanipa raha na kujifunza zaidi!!maana zinamlenga mtazania alivyo,halafu akichangia Preta mtani wa Mshana inaleta raha zaidi haswa alivyogusia suala la ndafu.Hongera mMshana kwa elimu iliyofichwa sirini.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Toyota nadia new model (type su) inauzwa

    Nakupongeza kwa tangazo liko vizuri sana naomba jf wengine tuige jinsi ya kuweka picha na ufafanuzi.weka na bei kabisa ili tusiwe na shaka
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vinyago/midoli vina roho

    Mshana kwisha habari yake.Kuna mtu amemteka fikra anahitaji msaada wa Kiroho
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Makampuni ya simu wizi mtupu

    Hili toto linafki sana kama ba....yake
Back
Top Bottom