KONDOO MTATA
Member
- Feb 10, 2015
- 94
- 49
Hizi shule binafsi zimekuwa na mbinu nyingi za kula hela za wananchi.Watoto wakifika darasa la saba wanalazimishwa kwenda boarding kwa kisingizio cha kufakufaulu.Hizi shule ukiangalia wanaokuwa boarding wanafeli kuliko wanaoenda na kurudi.Lakini kwa uroho wa pesa wa wamiliki hata kama mtoto anaishi Mita 20 karibu na shule lazima awe boarding.Gharama zinapandishwa marambili wakati na sio gharama tu balikumharibu mtoto kiseikolojia kwani hats malazi ni kero na miundombinu in mibovu.Hili jambo naomba serikali ifutilie kwa umakini.