Recent content by Konda wa bodaboda

  1. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Aibu nyingine uwekaji wa Jiwe la msingi Chongoleani Tanga!

    Hata posho na gharama za ziara hiyo huenda wanalipwa kutoka hazina/ikulu. Ccm wamekamatika na hiyo ni dalili ya kwamba chama hicho kimepoteza mvuto ndio maana wanafanya siasa kwa mgongo wa serikali.
  2. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Three Kenyans arrested for stealing in Harare, Zimbabwe.

    Cc: MK254
  3. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuna kachama kana mdomo mdomo maana K/njaro wana maendeleo. Hamkuchagua mbunge zwazwa

    Wewe ndiye unayejikomba kwa wanasiasa, usisingizie ukawa.
  4. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania RC Dar ameimarika zaidi badala ya kudhoofika kisiasa na kijamii

    Hawawezi kumsafisha huyo jamaa, hata TEF isingemuadhibu bado jamii ilishamdharau.
  5. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuna kachama kana mdomo mdomo maana K/njaro wana maendeleo. Hamkuchagua mbunge zwazwa

    Tangu alipotimuliwa CDM ameshuka umaarufu.
  6. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lissu: Mwambieni Rais Magufuli tutanyamaza tukiwa wafu, wafu huwa hawaongei...

    Ni maagizo kutoka juu sio utashi wa polisi.
  7. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Maalim Seif Sharrif Hamad na wafuasi wake

    Lakini ukweli ni kwamba walishinda katika uchaguzi mkuu.
  8. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Maalim Seif Sharrif Hamad na wafuasi wake

    Lipumba hawezi kufanya suluhu na Maalim Seif wakati amekula pesa ya watu ili kumdhohofisha Seif kisiasa.
  9. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yawateua 8 kuwa Wabunge wa Viti Maalum CUF

    Maagizo kutoka juu.
  10. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Wananchi wengi mbumbumbu wa namba za dharura za Zimamoto, Polisi

    Watu wanaona hizo idara hazina faida kwao ndio maana hawajishughulishi kujua hata kama zipo.
  11. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

    Kwani yeye ndiye aliyeasisi muungano?
  12. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba akutana na waandishi wa habari kukanusha kuhusu kuitishwa kwa baraza kuu Zanzibar

    Aibu anayo ila pesa ni mwanaharamu. Si unaona anavyoongea kwa aibu kama anazomewa.
  13. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

    Kwahiyo kuna Tanzania na Zanzibar? Tanganyika ipo wapi?
  14. Konda wa bodaboda

    JamiiForums Tanzania Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

    Kama Zanzibar sio nchini ni nini?
Back
Top Bottom