Recent content by komsungu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

    KWENDA SUJI SAME
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

    Ni mkoa huo huo haina shida wapare wengi ndiyo waliajazana huko Moshi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uteketezaji huu wa vifaranga ni unyama uliopitiliza

    Lo! hapana nina mabanda hayana vifaranga wagenipatia hata 1000 nigejitahidi kupata chakula .Kweli walishidwa hata kututangazia watu wa Dar hata watuuzie kwa 500 wasingekosa wateja. mm nilitamani kidogo nipige ukunga nilivyoona ule moto. hawakuwaza vyema.yule mmliliki hata sikumuelewa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

    Kumebana sana! space ndogo labda ndiyo kinamkosesha raha.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Msamehe Dr. Fenella Mukangara

    Mdogo wake Rosemary mkuu wa Dom dada kashuka mdogo kapanda familia zenye bahati zao
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kisabato ndio wanaoiishi Injili

    Ha,ha,haaa! hilo nalo neno tukijipamba kwa nje tusisahau kupamba miyoyo. maana mwingine hajipambi kwa nje ila ndani ameoza.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mauzauza ndani ya msitu wa Shengena uliopo Wilayani Same

    Hapana kwenye huo msitu mengi ni kweli .pia kuna ngombe zinazurura tu kwenye huo msitu hazina mwenyewe na hakuna wakusubutu kuwaiba.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mauzauza ndani ya msitu wa Shengena uliopo Wilayani Same

    Hiyo ya mdudu nilishuhudia kabisa kuna baba alipotea siku tatu kwenye huo msitu.Waliokuwa wanamtafuta walimkuta anaendelea nasafari kumshika mkono ndiyo akastuka amejichokea balaa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Goba ni ushuani kuzidi Temeke na Chamazi

    WW UTAKUWA HUJAFIKA GOBA HIVI KARIBUNI.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Unamshangaa Masanja? Msome hapa JB Mpiana ujue maana ya uvumilivu kwenye mapenzi

    Omba Mungu Usione viumbe hawa wanasiri sana! unaweza usijue mpaka unaingia kaburini.
Back
Top Bottom