Recent content by komredy zephania

  1. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu bajeti ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania 2021/ 2022

    hivyo vyama vingine ulivyo vitaja je vina wabunge silimia %ngapi humo buni mpaka waweze kupinga yanayopitishwa na wabunge wachama tawala
  2. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa zaidi ya siku tatu

    hii pcha naona kama inamhusu huyo mwamba alie tenguka[emoji41]
  3. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

    sawa ila kila siku tutakua tuna hakiki lain tuuuuuu kha mtuache kidogo jaribuni kuangalia mbinu mpya yahilo mnalo tafuta
  4. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU haiwezi na haina mamlaka ya kubambikizia mtu kesi

    hahaa kwahiyo mleta uzi anapiga bia ya gazeti[emoji38][emoji38][emoji38]
  5. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

    Aaaaa sana wewe ume elewa mchezo mkuu[emoji38][emoji38]hawezi kuonyesha kumpinga waziwazi so lazima atumie danganya tt
  6. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

    unajua unaweza ukasema mdomoni ila vitendo vyahuyo umsemae ukaviweka pembeni nahili ndlo ninalo liona hapo na wala sibaya maana ijapo kua mwendazake alikua namazuri pia ila mabaya yake siyakufuata
  7. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    hahaa ujue kumbe hapo kuna hoja zina kinzana kwa watoa coment wahili suala kumbe sio wenye vyeti feki[emoji4]niwenye vyeti vya la7 na ambao hawaku gush vyeti sasa swali je wale walio tumia cheti kimoja wa2 wawili ijapo kua wanavyeti vya taaluma husika hapo amekaaje
  8. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Nazani kwamuda wahiyo miaka mi5 waliyokaa mtaani wengiwao wameshakua wajasiriamali huru so wakilipwa hizo stahikizao wana bust tu vile walivyo vianzisha, ila pia wazo lako simbaya wakipewa hiyo elim ya ujasiriamali kuwaongezea weledi naufanisi katika lile walifanyalo au wanalo tarajia kwenda...
  9. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Umena vema mkuu [emoji849]ila naona kama kwa huruma yake anaweza akafanya hivyo kama wahusika watapiga kelele maana naskia wahusika walipeleka kesi mahakamaani nahukumu ilikwishatoka walishinda
  10. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Ndugai awaponda wana Mwanza kwa kuezeka nyumba zao na Mabati ya kizamani, Masufuria

    hahaaa[emoji38][emoji38][emoji38]
  11. komredy zephania

    JamiiForums Tanzania Ndugai awaponda wana Mwanza kwa kuezeka nyumba zao na Mabati ya kizamani, Masufuria

    mkuu kwani walivyo paua kwama sufuria wanavujiwa pindi mvua zikinyesha[emoji848]
Back
Top Bottom