Recent content by kombo1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini waarabu wanataka Zanzibar kwa gharama ya watanganyika?

    Usituletee mambo ya ubaguzi, sisi watu wa Zanzibar tuko pamoja katika harakati za kujikomboa katika makucha ya muungano. Ningekuomba uangalie hii video ifuatayo ili ujifunze zaidi mambo yaliyotokea mpaka hii leo kuhusu huu muungano wa kupandikizwa. Tunamatumaini kwamba si muda mrefu tutaishi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze upya kuhusu Utanganyika na utanzania (Bara)

    Sisi kutoka visiwani hatujali mkibakiwa na jina la nchi yenu ikiitwa Tanzania au Tanganyika, kitu tunachokitaka mtuachie turudishe utaifa wetu huko umoja wa mataifa haraka iwezekanavyo na jina la nchi yetu halina matatizo ni Zanzibar. Tafadhali watanganyika na wakereketwa wa CCM tuachane kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini waarabu wanataka Zanzibar kwa gharama ya watanganyika?

    Unajaribu kuwapotesha watu, Zanzibar kudai uhuru na utaifa wake hauna ubaguzi, sisi sote tuko pamoja na sioni tatizo wananchi kuomba kura ya maoni kuhusu muungano. Muungano huu haukuandikwa katika biblia au kurani kushindikana kuufuta na sioni kwa nini upande wa bara wanatupinga kila tunapo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Kama unatuunga mkono ni vizuri sana, pia jielimishe zaidi kwa kuangalia hii video uone maumivu yetu ya kufutwa utaifa wetu kwa maguvu ya watu wa Tanganyika. Video:Kwanini tusiirejeshe jamhuri ya watu wa Zanzibar? | Mzalendo.net
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Angalia Video hii na ujuwe maumivu ya Wazanzibari Video:Kwanini tusiirejeshe jamhuri ya watu wa Zanzibar? | Mzalendo.net
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Chukuwa wakati kidogo uangalie hii hapo chini utaelewa kwa nini tunataka kurejesha utaifa wetu haraka awezekanavyo. Video:Kwanini tusiirejeshe jamhuri ya watu wa Zanzibar? | Mzalendo.net
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Nyinyi Watanganyika ndio msioruhusu kuitishwa kwa kura hiyo kwani huyu Raisi wenu Kikwete hata anapinga Muungano usijadiliwe katika katiba hiyo mpya. Vingine hawa viongozi wetu wa Zanzibar wote wanaogopa kuitisha kura hiyo ya maoni kwani wote ni vibaraka wa vyama vyao ambavyo vyote viko mikononi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Picha - Uamsho Zanzibar ngangari hadi kieleweke

    Ndio maana tunataka uhuru wetu haraka iwezekanavyo. Muungano hatuutaki,muungano huu wa kulazimishwa sio muungano.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Picha - Uamsho Zanzibar ngangari hadi kieleweke

    Inaonyesha 90% ya wananchi wa zanzibar wanataka uhuru wao. Kama ni hivyo watawala ni Watanganyika, kwa kupitia viongozi wenyewe wa Zanzibar, tatizo hili halitamalizika kwa kutumia maguvu ya polisi kwani vijana wa visiwani ndio walio mstari wa mbele wa kudai uhuru wao. Ukandamizaji wa polisi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha - Uamsho Zanzibar ngangari hadi kieleweke

    Waliowengi wasikilizwe kama wanzanzibari hawataki muungano viongozi wa zanzibar, waruhusu watu wajiamulie.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Picha - Uamsho Zanzibar ngangari hadi kieleweke

    utawala wa mabavu unaofanywa na wabara zidi ya zanzibar, ni ukoloni wa masikitiko sana, waachieni wananchi wa zanzibar warudishe uhuru wao.
Back
Top Bottom