ingekua hujalipwa tungesema akulipe bila VAT. Sasa kama ameshakulipa kutompa risiti yenye VAT unaweza hata ukapewa kesi ya Uhujumu Uchumi. We saizi tunza hiyo VAT Yao ufuatilie Taratibu. Siku wakikubananisha unakua unayo kesi inakua ndogo.
Changamoto utakayo Kumbana nayo, huyo mteja wako (Nest) lazima atataka Risiti yenye VAT. Ikitokea Umempa risiti haina VAT akibaini anaweza Vunja Mkataba, maana yeye kwenye Mchanganuo wa Malipo yake kwako Kuna 18% ya VAT anakua amekulipa ambayo wewe unatakiwa kupeleka TRA.
Ardhi Sio kipaumbele cha Serikali, Huwezi kupanga Ardhi ambayo siyo ya kwako. Tanzania tuna sheria ya Utwaaji Ardhi, Kabla ya kuchora Hayo maua unayo yaona na hivyo vibox, inatakiwa ulipe kwanza Fidia.
Nani analipa hiyo fidia? Serikali Ardhi sio kipaumbele chake, hivyo fidia atalipa pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.