Recent content by Komandomwiba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Yaani nyie mnaopata pesa za burebure naona huwa mnakosa pakuzipeleka na matokeo yake zikibanwa ndo wa kwanza kulalamika maisha magumu! Nilishawahi kusema humu usidhubutu kumsomesha mtoto wa MTU kwa lengo la kuja kuoa hakuna mahala popote hata katika maandiko palipoandikwa eti utamsomesha aje...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Poleeee! Kwanza kama una mshahara shukuru sana tumia mshahara ulionao kujikwamua haraka sana na wala usilalamikie kutoonhezwa mshahara hakuna mahala duniani mtu amewahi kuridhika na mshahara, kuna wengine take milion 4 lakin nao wanasema mshahara hautoshi, kuna watu wanapata hadi milion 7 nao...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    2020 ccm inashinda SAA 4 asubuhi! Yaani kwenye uamzi wa 2020 wala upinzani usiwaze! Hata wao wanalijua na tayari washaanza kuambizana 2020 uchaguzi hakuna wajipange 2025 hapo watatoka na kishindo na siyo kushinda pia. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wachina wa Meli ya 'Samaki wa Magufuli' kwenda mahakama ya kimataifa. Wadai walipwe fidia pamoja na meli yao

    mgoloko Inawezekana tu Kama bado unawaabudu weupe, mpe hongera sana kiongozi anaepigania ufisadi, hasara zote hizo zimeingia kwa sababu ya watu fulani kuguswa maslahi yao, hata escrow ingefunguliwa kipindi cha JK lazima angekuwa ameshinda kesi. Tz tuna watu wa ajabu sana, yaani wanajiangalia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wachina wa Meli ya 'Samaki wa Magufuli' kwenda mahakama ya kimataifa. Wadai walipwe fidia pamoja na meli yao

    Good! Yaani mwanasheria wetu wengi wanahangaika na matumbo yao ya siyo maslahi ya nchi. Mimi nadhani kuna haja ya kuwapitisha Jeshini wapige kwata mwaka mzima kabla ya kuthibitishwa wanasheria hapo ndipo uzalendo utawakaa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wachina wa Meli ya 'Samaki wa Magufuli' kwenda mahakama ya kimataifa. Wadai walipwe fidia pamoja na meli yao

    Acha pombe basi! Kesi nyingi ziliamriwa kwa maslahi ya kifisadi, kama lesen ilikuwa ilishaisha muda hadi wanakamatwa kwanini wsshinde kesi kama ndo zile Sera za kifisadi MTU unaamua kuchukua rushwa ili Taifa liangamie! Waliotia hasara si magufuli Bali ni waliokuwa juu yake, tazama akina chenge...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kesi ya Mh. Lissu ya 'Dikteta Uchwara' - Agosti 28, 2017

    Maswali mengine yanaulizwa kupoteza muda au yanalenga nin? Maswali mengi ya kibatala haya connection na kes kabisa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotembea na waume za watu

    Sasa glass tatu ndo maambo yanaenda kombo namna hii?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotembea na waume za watu

    Kwa hiyo umetupia mangapi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotembea na waume za watu

    Mwanaume haridhiki hata siku moja, unaweza kumpa haki yake usiku kucha na akakuwasha bao 8, lakin asubuhi akioga kujiandaa atoke mzikii unaanza kudai mambo tena ,je mpe tena atakuwasha 3 mfulilulizo na ataenda kuoga kisha ataondoka anaingia kwenye daladala kuona mdada mrembo kwenye kimin tu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotembea na waume za watu

    Wanaheshimu sana sema nyie mnamatatizo sana mkishaingizwa ndani mnaanza tabia tofauti na kipindi cha uchumba ,amani inaisha so mume anaamua kunusa nje kupunguza hasira.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotembea na waume za watu

    So na wewe ndo muiba vya watu? Mume wa mtu ni maziwa na mke wa mtu ni sumu. Hivo kama wewe hujaolewa unaiba mume wa mtu haina mbaya maana unafuata maziwa, Kibaya ni mwanaume kuiba mke wa mtu maana anafuata sumu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Wewe inaonekana ndo hujui maana ya uteuzi, mkuu wa wilaya anateuliwa na Rais ,raisi anachanguliwa na wananchi nchini kote , kwa maana fupi kabisa mkuu wa wilaya anachaguliwa na wananchi indirectly through the president! Kwahiyo yuko sahihi kumtia ndani, jirani yako akimtukana baba yako unajisikiaje?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Huyu Dada ana Jeuri mbaya, speech zake full matusi, sijui hata waliomtuma bungeni kama wanafikiria sawa sawa jimbo zima walikosa wakuwawakilisha! Rubbish woman ,kaa huko hata upotee mazima kabisa, hatuna muda wa upuuzi sisi.
Back
Top Bottom