Wana JF habari
Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
The Burning Spear hii saa tisa na nusu mchana ni saa za hapa Tanzania? dah naihitaji sana hii info maana itanisaidia sana kwenye jambo langu. Natanguliza shukrani sana kwako kwa madini haya uliyoandika hapa JF. Mungu akubariki sana
Habari wana JF.
Kwa ambaye amewahi pata mkopo kwenye hizi microfinance na akaridhika na huduma kwa maana ya huduma inayoendana na mkataba na isiyo na janjajanja naomba anijuze nipo Dar.
Hapa nazungumzia mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari.
N.B Kwa sasa siwezi pata mkopo benki kwa maana ya...
Sure Bro, unajua tatizo baadhi ya waTz huvipa thamani za juu sana vitu vyao ilhali kiuhalisia siyo hivyo sasa utakuta mtu unataka upate tu idea ya gharama ya kitu fulani mf .ghorofa ndogo simple ya makazi (unakuta na anayehitaji msaada katoa na details za nyumba yenyewe kwa maana ya SQM) sasa...
Shukrani sana kaka kwa moyo wako wa kukubali kutoa uzoefu Mungu akulinde maana unakuwa/utakuwa msaada kwa wengi maana dah nikisomaga comments za waja ni kama vile kujenga ghorofa ni jambo la kutisha wakati si hivyo.
The United States is developing next-generation fighters, including Lockheed Martin's SR-72 Darkstar project, which aims to produce a hypersonic reconnaissance drone.
Reports indicate that a test model could be ready by next year. The final version is expected to achieve a top speed of Mach 6...
Vilevile nimewaza inawezekana kwenye 1st floor ukatumia yale matofali yenye uwazi ndani, na pengine sijajua kitaalam inawezekana ule uwazi ukaongezwa zaidi kwa maana ya kumodify mold kuwa nyembamba zaidi ambapo wembamba utakuwa compesated na plaster kama ambayo umesema lengo hapa ni kupunguza...
Ok poa naja PM kuna vitu nataka nijifunze kwako maana angalau kuna stages wewe ushavuka. Nitakuwa na project ya kujenga kighorofa hapo baadae so sio mbaya nikajifunza kutokea kwako pia.
Hivi zile ceiling board za kizamani haziwezi tumika pia? kuna nyumba naifahamu wamefanya partioning ya hizo board tokea miaka ya 70 zipo vile vile au ndo moto ukitokea zitashika moto faster and so proposed solution ni kutumia gypsum board ambazo mafundi husema hazishiki moto Hechy Essy msaada...
Dah fursa hii ya kuanza kighorofa changu, nitakutafuta Engineer unichoree ramani na structural ila ujue kabisaa kwenye nguzo unanichorea structural drawings ya nondo za mm 12 na sio mm 16 kwenye nguzo na usiniwekee nguzo nyingi maana hela zenyewe za mawazo sanaaa 🤣😭😭 japo najua ushasemaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.