Mimi ni mgeni kwenye soko la hisa na nina hamu ya kujifunza kabla ya kuwekeza pesa zangu
Naomba mnisaidie kujua:
Mnaangalia vigezo gani kabla ya kununua hisa za kampuni?
Mnafanyaje kutambua kama hisa ina nafasi nzuri ya kupanda thamani au kutoa gawio zuri?
Ni taarifa zipi muhimu huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.