Recent content by Kolobaa

 1. K

  Yona atoswe baharini ili merikebu isizame

  Fasihi fasaha!hongera sana Kwa mistari sahihi!
 2. K

  Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

  Akitoka kwenye hiyo kamati atakuwa ameimarika zaidi!Nenda Lisu nenda baba mkono wa Mungu Uko juu yako!
 3. K

  Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

  Uko sahihi kwa [emoji817]% kuna nguvu ya Mungu ndani yake!
 4. K

  Tundu Lissu ni tanzi kwa utawala

  Uko sahihi kabisa! Kuna kitu ndani yake!
 5. K

  Utamaduni wa woga ndiyo umempa Lissu na Seif umashuhuri

  “Hebu tafuta shujaa ndani ya CCM kama Halima Mdee” Nimepapenda hapo Na umemtendea Halima haki yake!huyu dada ni wa mfano Kwa anachokiamini!
 6. K

  Uchaguzi 2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

  Wanazidi kuwapa watu matamanio ya kutafuta kujua Lisu kaongea nini kila leo!lakini haya yote si bure kuna nguvu fulani ndani ya Lisu!muda utasema!
 7. K

  Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

  Ni jambo la muhimu sana!tupate nafasi ya kuwapima wagombea Kwa maswali .
 8. K

  Hakuna chama duniani kinaendekeza wasiotii maazimio ya chama/ Mwenyekiti wake

  Umenena Kwa usahihi sana! Sent from my iPhone using JamiiForums
Top Bottom