Recent content by Kolero

  1. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Bagonza: Nawaomba radhi niliowahamasisha ili waende wakajiandikishe kupiga kura

    Unashangaa viongozi wa dini badala ya kuishangaa serikali inayowaalika viongozi wa dini kila tukio!
  2. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

    Kutaka ushahidi ni hoja nzuri lakini hiyo hoja ya udini sijui umeitoa wapi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

    Hakuna aliyesoma SAUT akawa hivyo. SAUT waliosoma na kumaliza hawawezi kujuta. Na daima wapo wakweli.
  4. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

    Wanasimamia ukweli, uadilifu na uwajibikaji sijawahi kuwaona wakitaka kubebwa hata kubebwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Upofu wa Padri Kitima unahitaji neema ya Mungu

    Ndiyo maana nimekueleza usome tena uelewe alichosema Kitima
  6. K

    JamiiForums Tanzania Upofu wa Padri Kitima unahitaji neema ya Mungu

    Mbona unatumia nguvu bila sababu. Kitima hajaongea Wamasai kwamba ni Wakatoliki bali anaongelea haki zao ziheshimiwe. Sasa hayo mapovu ya nini. Pitia tena hoja zake alafu jipime na hicho unachotolea povu. Tuchambue hoja siyo kutanguliza ushabiki.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Upofu wa Padri Kitima unahitaji neema ya Mungu

    Instanbul ni kweli kabisa tatizo lililopo ni ushabiki badala ya kuchambua au kujibu hoja. Kama tungekuwa tunachambua na kujibu hoja tungejua ni kwa kiasi gani mambo aliyoongea Kitima yana uzito gani na manufaa gani. Tujifunze kuwa wachambuzi na siyo mashabiki.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Waikimbia Bandari ya Dar na Kwenda Mombasa Port

    Ufanisi ni mipango na mikakati, mimi nilifikiri DP ndiyo wapo Mombasa kumbe bla bla tu ili mradi uonekane unaongea kwenye media. Acheni kupigia debe watu wa nje, imarisheni ufanisi kwa kuwekeza kupitia Wizara.
  9. K

    JamiiForums Tanzania DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

    Kuhusu kupakua mako Kuhusu kupakua makontena 16 kama ndiyo yaliyopo mkuu unategemea mengine yatoke wapi? Labda kama unamaanisha kuna makonte yanabaki kwenye meli bila kushushwa sawa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

    ALikuwa mkarimu sana Mzee Alikuwa mkarimu sana Mzee Mbezi Luis.
  11. K

    JamiiForums Tanzania SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

    Tatizo halipo kwa Maprof bali kwako na wale wanaofikiri ukifika chuo basi kwenda viwanja na kusoma kwa kuletewa sms, wa aina hiyo lazima malalamiko yawepo
  12. K

    JamiiForums Tanzania SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

    Mbona hicho ni kitu kidogo sana, hutaki kugawiwa ID?
  13. K

    JamiiForums Tanzania SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

    Pale hakuna utoaji mimba kama huko kwingine.
  14. K

    JamiiForums Tanzania SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

    Hukusoma SUA maana huo uliotaja kama upuuzi haupo SUA
Back
Top Bottom