Recent content by kolekole

  1. K

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Wakatoliki mbona wameshaanza hiyo move ya kurudisha shule zao kitambo, na kusema kweli hata kama wachangiaji mnasema wakizichukua elimu itakayotolewa itakuwa bora ila watoto wa wakulima hawataweza kutia mguu kusoma kwano Ada ni kubwa sana. Wameshaichukua shule yetu ya Forodhani (4RAWDHAN ) pale...
  2. K

    Hawa wako wapi sasa?

    yeah sasha its Tasssi lakini sijui kama ameshavuta si yule aliekuwa anasoma ISt point 0.5 fulani hv Oiii oiii nyani gabu yaani mzuka si kitoto umenigusa mlalakuwa kwenye klabu za wanzuki ndio lilikuwa boda langu nikitoka skonga mapambano primary wakati naitafuta kwa remy home. Abajalo umecheza...
  3. K

    Hawa wako wapi sasa?

    Topic hii ilianza vizuri lakini wameharibu walioanza kuingiza mambo ya shule, hapa tunaongelea Ma Mcs wa OldSkul wa Bongo, Je nani anajua kwamba kulikuwa na Beef kati ya Salehe Jabir a.k.a Cool S na Adili Kumbuka The late Nigger One ( R.I.P) walishakutana fainali mara mbili Lang'ata kwenye...
  4. K

    Hawa wako wapi sasa?

    Brazameni pamoja na keleza kuwa ulikuwa ubafuatilia sana HipHop ilivyokuwa inachipikia Bongo inaonekana haukuwa nayo karibu, KU crew au Kwanza Unit sio walioimba nyimbo ya MSELA, nyimbo hiyo iliimbwa na Mawingu Band ( OJ amabaye ana kesi Marekani na wenzake) na ndio walirekodi Video yao cine...
Back
Top Bottom