Recent content by kokunestory

  1. K

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    Ulaaniwe wewe maisha, mtu gani isiye na utu
  2. K

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    we mwigulu ulaaniwe milele, ivi we ni binadamu gani usiye na utu na kumfanyia ivyo binadamu mwenzako, tumeona wangapi na wameishaje, ULAAANIWE WEWE
  3. K

    Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    ivi wewe mwigulu izi laaana na midomo ya watu wanavyokutamkia mabaya unafikiri utaishi na maani mbaya zaidi kwenye huu upumbavu wako ukamwingiza na mungu eti utatoa ushahidi mbinguni ivi unafikirii mungu anaweza kukuacha tu ivi, lazima ulipwe tena hapa duniani. umemtesa baba wa watu bila huruma...
  4. K

    Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    ivi we bwana mkubwa una mke na watota kweli, na kama unao , ivi akili yako iko sawa sawa kweli, hakika laaana lazima ikutafune wewe na kizazi chako milele, ivi una moyo gani ambao haukusuti kuitesa familia ya lwakatale, hutaishi kwa amani milele, hata kama siasa mchezo mchafu, THIS IS TOO MUCH...
  5. K

    Kumdai boyfriend ni vibaya?

    pole mwaya hata mie yalishanikuta mtoto wa kike nilizurumiwa ivi ivi na najiona bt nilimwachia mungu na nilimdharau coz ni mtu mwenye kazi nzuri na ana uwezo wa kulipa iyo hela, usije rudia tena bora uwape ndugu zako,hawa madog, pumba..u ni shobo tu
  6. K

    Kumdai boyfriend ni vibaya?

    pole mamito, hata mie yalishanikuta tena asivyo kuwa na haya haya majitu ka siku mbili kaja nimkope hukuhata ile hakunirudishia, siku nyingine usije jaribu bora iyo hela mpemama ako anunue mboga, hawa madog hawana shukrani kabisa, nawachukia saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana pumba..fu
  7. K

    Nimfanyaje mtu huyu

    habarini wana jamvini, ni ivi una kua ktk relation na mwanaume na ktk kipindi chote cha relation mnakuwa ni watu wa kugombana saana , una amua kuachana naye na ktk kipindi icho cha kuwa mbali ana kuwa mtu wa kusumbua sana hadi kero anakuwa anataka kurudiana, baada ya mda una gundua jamaa...
  8. K

    Naombeni mnisaidie plz

    naomba no yako ya simu
  9. K

    Naombeni mnisaidie plz

    naomba unitumie no yako ya simu
  10. K

    Naombeni mnisaidie plz

    naomba unitumie no yako ya simu emediately ka itawezekana
  11. K

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Ina uma sana, ka wana israel walimshinda gfarao basi naamini hata hili tutashinda, shame on u mkuu wa mkoa ivi una jiamini mimi na cheo cha kupeana kwenye majumbaa ya mataputapu, una jiamini nini, ivi hujiulizi walikuwepo wangapi tena mawaziri and nw wako wapi , huna hata aibu kwa hii inshu...
  12. K

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Ivi nyie policecccm ni njaa au mishahara midogo,ivi unaona bora umdhalilishe mbunge aliye chaguliwa na wananchi kwa uyo cheo cha kupewa kwenye matapu tapu, shem on u mkuu wa mkoa, wewe hujaanza kuwa kiongozi kulikuwa na wernzako tena mawaziri na unajua nw wako wapi, pia nakukumbusha hii ni dunia...
  13. K

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Ivi we wa lumumba utaendekeza izo njaa hadi lini, some time muweke siasa pembeni, lema huyu ana mke na watoto pia, we unatoa tu upumbav..u kwa jambo lenye kuvuta hisia na kuumiza , kiukweli sina chama ila kwa ili limeniumiza saaana, then mtu ana andika mashudu na kushabikia na ulaaaniwe na njaaa...
  14. K

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    ivi wewe mtu wa lumumba, roho haikusuti hata kwenye jambo la utu ka hili unaendekeza njaa zako, na ulaaniwe, humuonei huruma uyo mke wa lema, watoto, una endekeza njaa, mwogope hata mungu ka mwanadamu umeshampanda kichwani. some time inabidi muweke siasa pembenina mkaangalia hata utu, binafsi...
  15. K

    IGP Mwema aunda tume kwenda Kusini kutuliza gasia

    tume ya nini, huku matatizo yao yanajulikana, ivi hawa viongozi hawaoni kweli aibu kwa wanachofanya, ndo maana nyumba zao zinachomwa moto
Back
Top Bottom