Umeongea vzr.....sana ndugu yangu.... Nashangazwa sana binafsi na hawa TFF mechi nyingi za kirafiki za Taifa stars ni dhidi ya Sudan Ambao kwao Kuna vita...hawachezi mpira hawapo hata kwenye AFCON ya mwakani c masihara haya.....
Unaweza andikiwa tu barua nzuri kutoka kwa mwenyekiti wa kijiji au mtendaji kata, kukuelezea hali yako na familia yako, hvy kushindwa kuendelea na masomo, hlf anagonga mhuri wake unaiscan kama PDF unaiapload imeisha hy.......
Naomba kufahamishwa wakuu, kwa continue student aliyepangiwa mkopo, inasemekana jina lake linapelekwa chuoni kwake, je akiingia kwenye SIPA ataona kama amekuwa allocated mkopo au la?
Wakuu maomba kufahamishwa, Hv kwa continue student, inasemekana jina lake la mkopo hutumwa chuoni, je akiingia kwenye SIPA ataona kama amekuwa allocated mkopo au la?
Nida!nida!nida!
Wakuu nina changamoto ya kutokuwa na kitambulisho cha taifa ila namba ya nida ninayo na kitambulisho changu bado hakijatoka hyv nafanyaje ili kumaliza appl, pale wanapohitaji copy ya kitambulisho cha nida.........?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.