Recent content by kokaumba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Gypsum board design ya kuficha curtain roads

    Asante sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Gypsum board design ya kuficha curtain roads

    Ukiview inaonekana vizuri
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gypsum board design ya kuficha curtain roads

    Habari wakuu, nimevutiwa na design ya gypsum board ya kuficha curtain roads. Fundi wangu anasema anaweza kutengeneza. Lakini najiuliza vishikio ya curtain roads vitagongwa vipi?...fundi naye hana idea. Msaada mafundi nimuelekeze fundi wangu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania MASHINE ORIGINAL YA KUNYOLEA NYWELE YA KUCHAJI (wireless)

    Nimeicheki sio wireless
  5. K

    JamiiForums Tanzania MASHINE ORIGINAL YA KUNYOLEA NYWELE YA KUCHAJI (wireless)

    Habari wana jukwaa, ninahitaji kununua mashine ya kunyolea nywele. Ipi ni bora? Kampuni gani? Nawezaje kutofautisha mchina na OG...nimeona baadhi KEMEI 2299, 2293... kiufupi niko hapa kuelimishwa ili nipate kilicho bora.
  6. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunaitambulisha mashine ya ukaushaji (hydrated mashine)

    Duh maelezo haya yanaonesha bado mko kwenye majaribio...unatoa maelezo ya kufikirika zaidi kuliko halisi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania TCU hawachagui kwa usawa

    😅😅😅😅
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Check upande wa attachment unaweza kuta barua yako huko.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tamisemi hamisheni taarifa za mishahara ya walimu waliopata uhamisho mwaka Jana mwezi wa kumi wanakwama kuingia katika mfumo wa PEPMIS

    Aende Tamisemi akakomae...kuna jamaa angu alikomaa nao mpaka akafanikiwa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Ni kasheshe...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mayai ya kienyeji pure

    Ndio mnipe channel za hayo masoko
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mayai ya kienyeji pure

    Kumbe!!
Back
Top Bottom