Askofu anajua anachotakiwa kufanya.ni kada wa ccm kwa kupitia kivuli cha dini.anaaibisha kanisa.nilitegemea angetoka jana kumbe yupo.ndio maana tulisikia kundi la 201 ni makada wa ccm leo imejidhihirisha kwa huyu askofu
Mungu atamlinda lema,alishawatuliza wanafunzi wakatulia.Mungu atasimama katika haki.Lema nyota yake inang'aa.kwa arusha hawasikii lolote siku zote wana imani na lema.My GOD KEEP YOU.Godbless Lema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.