Recent content by Kodo dyako

  1. K

    Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

    Natamani kucheka Kwa sauti..naogopa kuwa pacha wa anko T
  2. K

    Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha

    Ushaambiwa mtu jambazi..Sasa negotiation ya nini?? Tanzania ndio nchi yenye anti terrorist wenye huruma na busara...fikiri jambazi Huwa wanaonywa more than once kabla ya kutembelewa!!! Watu wa ugaidi vivyo hivyo...Sasa ukiona adi kanyakuliwa ujue alikaidi maonyo
  3. K

    Mungu wangu kanionesha mtu muhimu akiwa katika umauti.

    Haswa wanga au viazi maharagwe..haswa Yale maharagwe ya njano
  4. K

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Huu ni ushenzi..inakuaje unatumia picha bila namba Wala location ya muhusika??
  5. K

    Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

    Ebu kanywe supu na limao nyingi..konyagi sio pombe ya kunywa mchana..
  6. K

    Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

    Hili pimbi linafundisha watu ujinga..asilimia 90 ni ushuzi Tena wa maharagwe ya njano....hio inakuaje familia au kikundi Cha mungiki??
  7. K

    Nigeria: Watu wenye silaha wamwua kwa kumchoma moto Padre David Tanko

    S SAwa Mimi Niko mwanza..nipe namba yoyote inbox..ila huko Huwa nakuja mara Kwa mara
  8. K

    Nigeria: Watu wenye silaha wamwua kwa kumchoma moto Padre David Tanko

    Sawa Mimi kafiri..njoo pm tuonane unichinje
  9. K

    Kwanini watekaji na wauaji hawakamatwi mpaka sasa? suala hili halivumiliki

    Kwamba avae nini kulingana na tukio😁😁😁
  10. K

    Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

    Hiyo ni sahihi..bila kutumia hisia..ila sio taarifa za kuupuzia kwakua TU hayatuhusu au tunaingiza mapato
  11. K

    Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

    Nilikua nakuheshimu sana mkuu..lakini ulichoandika hapa hakiendani na wewe
  12. K

    JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

    Mtu unaelewana na mtu umu vizuri TU..unajua unakutana na pisi..unashangaa pisi inaambatana na kuambiwa upo chini ya ulinzi
Back
Top Bottom