Inategemea utainunua wapi mi nimeshuhudia hiyo dawa inauzwa 12000 kwa kidonge na kwenda kwingine ni 3500 tu na wengine hawaijui kabisaaa!! kwa hiyo experience yako sio final tembea ujionee!! ndio maana nikatahadharisha sipo hapa kubishana bei be wise madam!
sipo hapa kubishana bei ya vidonge nilichojaribu ni kumtajia vidonge vinavyoweza kusave hio situation ambayo ndio highyl recommended kwa watu wenye tatizo kama lake
fettydia,
Nakushauri kamuone Dr kapona katika clinic yake chanika buyuni naamini kwa uwezo wa mungu atakusaidia sababu alimsaidia mtu mwenye tatizo kama hilo na akajifungua salama tu
Hellow wadau
Naomba msaada kwa yeyote mwenye kufahamu wapi nitapakua (download) au kuipata Tamthiliya ya kihindi ya Lies of The Heart (Doli Armanoon Ki) Version ya English au Kiswahili zikiwa full episode Na sio version ya kihindi maana najua ipo Youtube hio version ya kihindi.
Asanteni
Kuhusu mimi kuhudhuria shughuli za jamii nashukuru najitahidi sana ninapokuwa na nafasi na hata kama sijafanikiwa basi lazima memba wa familia yangu atakuwepo hapo sasa ishu ya wananchi in general kuwa wazito kidogo ndugu yangu napata tabu kuamini maana katika moja ya sifa wanayojivunia...
Umetisha mkuu na asante sana kwa kunipa ushuhuda wako kwa yale uliyojionea hakika nikiri wazi naheshimu sana mtu anapokiri juu ya mambo flani aliyoyashuhudia na ndio kwa hakika yanakupa msukumo ulio nao na mtazamo juu ya siasa za tz Much respect sana mdau! but mi ushauri wangu kwa upinzani...
Umejaribu kujibu vizuri kihoja japo bado mimi ni muumini wa utendaji zaidi kuliko mvuto na ushawishi mfano Kuna mtu anaitwa Bashite huyu kimvuto na ushawishi yupo chini sana lakini mtu makini akipewa nafasi ya kumchagua huyu jamaa na mtu mwingine mwenye maneno matamu saaana unafikiri nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.